Mystery
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 15,843
- 31,057
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuambie Kuna km ngapi kutoka CHATO-GEITA na GEITA-MWANZAWateja wengi wa Geita, Kahama (kwenye mafini) waliokuwa wanashukia mwanza, sasa watashukia Chato ambapo ni karibu!
Mkuu ungeenza na Kigoma ningeelewa; ninachoona ni kama unachuki na JPM na Chato ni fursa ya kuonyesha chuki zakoSiku chache zilizopita tulimsikia Mtendaji Mkuu wa shirika la ndege la ATCL, Ladislaus Matindi akiutangazia Umma wa watanzania kuwa shirika lake la ndege, kuanzia tarehe 9/01/2021 litaanza safari zake za ndege za kwenda kijijini Chato.
Ninavyojua Mimi ni kuwa unapokuwa kwenye biashara ni lazima kwanza ufanye "feasibility study" kujua kama mpango wako utakuletea faida kabla ya kuanza kuutekekeza.
Ninajiuliza hivi hao ATCL wamefanya kweli hiyo "feasibility study" kabla ya shirika hilo kujitumbukiza kufanya safari za ndege kuelekea huko kijijini Chato?
Nina uhakika kuwa safari hizo za shirika za ndege la ATCL kuelekea Chato zitaliingizia hasara shirika hilo, sasa ni kwanini wajitumbukize kwenye huo mradi utakaowaletea hasara?
Je, shirika hilo la ATCL kufanya safari huko Chato ni katika "kujikomba" kwa Rais wa nchi hii, John Pombe Magufuli, ambaye ni nyumbani kwake huko Chato?
Kwa kuwa tunafahamu kuwa CAG wala Bunge halitakuwa na "ubavu" wa kulihoji shirika hilo kama limekula hasara, kwa kuwa shirika hilo limehamishiwa shughuli zake kwenye ofisi ya Rais, ambapo ni "marufuku" kufanya uchunguzi kwenye shughuli zozote ambazo ziko chini ya ofisi hiyo ya Rais!
Ninavyofahamu Mimi ni kuwa shirika hilo likipata hasara ya uendeshaji wake, litapata ruzuku kutoka serikalini, ambazo ni pesa za walipa kodi wa nchi hii, za kwako na za kwangu, kwa hiyo tuna haki ya kuhoji uendeshaji wa shirika hilo.
Nimekuwa nikijiuliza hivi huo ndiyo utawala bora unaozingatia sheria za nchi hii?
Tunamuomba Mtendaji Mkuu wa shirika hilo la ATCL, Stanslaus Matindi ajitokeze hadharani na kutujibia maswali haya kama shirika lake limefanya "feasibility study" ya kutosha na kujiridhisha kuwa kupeleka safari za ndege huko kijijini Chato, kutaliletea faida shirika hilo.
Watalii wa nje ndio wanaingiza pato kubwa. Burig chato wamekuja juzi tu. Huwez wapita akina kilimanjaro ,manyara ,akina serengeti, tarangire ,akina ngorongoro. Kwa mapato.Ni top 10 kwa kutembelewa na wageni toka nje ya nchi ndani sio kweli
Siko mbuga zina watalii wa ndani wa kufa mtu mfano mikumi national park kipindi cha sana sana train za TRC zenye mabehewa kibao hupeleka watalii
Mbuga hizo nazijua na nililipa laki saba kampuni ya kitalii kuondoka na gari ya kitalii kwenda ngorongoro unakuta kumejaa watalii wengi wa nje tu
Issue sio ku capture tu soko la nje ni ku capture la ndani pia maeneo mbalimbali
Itafika tuu,ila ongeza juhudi katika kulipa kodi.Tunataka SGR ifike Chato pia
Rubbish country!! Rubbish advisers!! Rubbish rubbish!!!! Our taxes have no one to look after!! We are damned!!Siku chache zilizopita tulimsikia Mtendaji Mkuu wa shirika la ndege la ATCL, Ladislaus Matindi akiutangazia Umma wa watanzania kuwa shirika lake la ndege, kuanzia tarehe 9/01/2021 litaanza safari zake za ndege za kwenda kijijini Chato.
Ninavyojua Mimi ni kuwa unapokuwa kwenye biashara ni lazima kwanza ufanye "feasibility study" kujua kama mpango wako utakuletea faida kabla ya kuanza kuutekekeza.
Ninajiuliza hivi hao ATCL wamefanya kweli hiyo "feasibility study" kabla ya shirika hilo kujitumbukiza kufanya safari za ndege kuelekea huko kijijini Chato?
Nina uhakika kuwa safari hizo za shirika za ndege la ATCL kuelekea Chato zitaliingizia hasara shirika hilo, sasa ni kwanini wajitumbukize kwenye huo mradi utakaowaletea hasara?
Je, shirika hilo la ATCL kufanya safari huko Chato ni katika "kujikomba" kwa Rais wa nchi hii, John Pombe Magufuli, ambaye ni nyumbani kwake huko Chato?
Kwa kuwa tunafahamu kuwa CAG wala Bunge halitakuwa na "ubavu" wa kulihoji shirika hilo kama limekula hasara, kwa kuwa shirika hilo limehamishiwa shughuli zake kwenye ofisi ya Rais, ambapo ni "marufuku" kufanya uchunguzi kwenye shughuli zozote ambazo ziko chini ya ofisi hiyo ya Rais!
Ninavyofahamu Mimi ni kuwa shirika hilo likipata hasara ya uendeshaji wake, litapata ruzuku kutoka serikalini, ambazo ni pesa za walipa kodi wa nchi hii, za kwako na za kwangu, kwa hiyo tuna haki ya kuhoji uendeshaji wa shirika hilo.
Nimekuwa nikijiuliza hivi huo ndiyo utawala bora unaozingatia sheria za nchi hii?
Tunamuomba Mtendaji Mkuu wa shirika hilo la ATCL, Stanslaus Matindi ajitokeze hadharani na kutujibia maswali haya kama shirika lake limefanya "feasibility study" ya kutosha na kujiridhisha kuwa kupeleka safari za ndege huko kijijini Chato, kutaliletea faida shirika hilo.
Usitumie nguvu nyingi kumfahamisha asiyefahamu, tupiamo na tupicha picha basii.Mleta mada
Ujinga wako ni hapo ulipoandika kijijini Chato
Chato sio kijiji ni Mji
Naona hujawahi hata fika unaandika upumbavu wako hapa
Lakini usiwazuie wanahabari kuleta mrejesho wa usemalo.Fanya kama unafanya booking mkuu, Ndege imejaa tayari.
Lakini usiwazuie wanahabari kuleta mrejesho wa usemalo.
Ndege imejaa ya kwenda wapi? Yaani Mataga mnakazi kweli,Fanya kama unafanya booking mkuu, Ndege imejaa tayari.
Usher-smith MDWaende tu Chato wakipata hasara shauri zao maana haitupunguzi wala kutuongezea chochote
Tukiendelea kulalamika wataamishia Dar es salaam Chato [emoji23]Usher-smith MD
Kwani wewe hujui kuwa kodi yako unayolipa, ndiyo itakayotoa ruzuku ili ATCL i-survive?
Siku chache zilizopita tulimsikia Mtendaji Mkuu wa shirika la ndege la ATCL, Ladislaus Matindi akiutangazia Umma wa watanzania kuwa shirika lake la ndege, kuanzia tarehe 9/01/2021 litaanza safari zake za ndege za kwenda kijijini Chato.
Ninavyojua Mimi ni kuwa unapokuwa kwenye biashara ni lazima kwanza ufanye "feasibility study" kujua kama mpango wako utakuletea faida kabla ya kuanza kuutekekeza.
Ninajiuliza hivi hao ATCL wamefanya kweli hiyo "feasibility study" kabla ya shirika hilo kujitumbukiza kufanya safari za ndege kuelekea huko kijijini Chato?
Nina uhakika kuwa safari hizo za shirika za ndege la ATCL kuelekea Chato zitaliingizia hasara shirika hilo, sasa ni kwanini wajitumbukize kwenye huo mradi utakaowaletea hasara?
Je, shirika hilo la ATCL kufanya safari huko Chato ni katika "kujikomba" kwa Rais wa nchi hii, John Pombe Magufuli, ambaye ni nyumbani kwake huko Chato?
Kwa kuwa tunafahamu kuwa CAG wala Bunge halitakuwa na "ubavu" wa kulihoji shirika hilo kama limekula hasara, kwa kuwa shirika hilo limehamishiwa shughuli zake kwenye ofisi ya Rais, ambapo ni "marufuku" kufanya uchunguzi kwenye shughuli zozote ambazo ziko chini ya ofisi hiyo ya Rais!
Ninavyofahamu Mimi ni kuwa shirika hilo likipata hasara ya uendeshaji wake, litapata ruzuku kutoka serikalini, ambazo ni pesa za walipa kodi wa nchi hii, za kwako na za kwangu, kwa hiyo tuna haki ya kuhoji uendeshaji wa shirika hilo.
Nimekuwa nikijiuliza hivi huo ndiyo utawala bora unaozingatia sheria za nchi hii?
Tunamuomba Mtendaji Mkuu wa shirika hilo la ATCL, Stanslaus Matindi ajitokeze hadharani na kutujibia maswali haya kama shirika lake limefanya "feasibility study" ya kutosha na kujiridhisha kuwa kupeleka safari za ndege huko kijijini Chato, kutaliletea faida shirika hilo.
Usher-smith MD
Kwani wewe hujui kuwa kodi yako unayolipa, ndiyo itakayotoa ruzuku ili ATCL i-survive?
Chato kuna mradi mingi sasa ya kumwaga fuata nyuki ule asali,by December 2025 ni fire.Mleta mada