YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Nenda mwanza mjini uone watu wanavyofurika kutalii Mbuga ya ChatoMtalii gani mwenye akili zake timamu aende akatalii chato.
Hata wewe mwanalumumba na mfia magufuli ukiulizwa kati ya chato kilimanjaro au Arusha unapenda ukatalii wapi utachagua Arusha au Kilimanjaro na siyo.
Yaani msukuma atoke shinyanga aende kutalii mbuga za Arusha na Moshi aache iliyo hapo jirani?
Ni afunge safari toka kigoma au kagera au Tabora aende kutalii Arusha na Moshi ?
Mbuga ni huduma ya Jamii ndio maana watu wamesogezewa karibu wawaone a jirani kwa gharama nafuu miliki wangefunga safari kulipa malaki nauli na malazi kwenda Arusha na Kilimanjaro
Baada ya kupelekwa wanyama watalii wameongezeka sana mfano mbuga ya kisiwa cha sanane Mwanza Mjini week end kunafurika watalii wa kufa mtu