Hata wangejenga Katoro ili watu wa migodi wa Bulyanhulu watumie.Kutoka Geita mpaka chato kuna miji midogo midogo inazidi ukubwa Chato. Kwa kweli kule wamebugi. Walishindwa nini kuweka Geita mjini?
1.Kwa Jiografia,uwanja uko kijijini na miji mikubwa kama Geita,Kakola iko mbali!Chato geita kwa barabara unapiga zaidi ya Km 150!Huwa natamani baadhi ya wachangiaji kabla ya kuchangia wawe wanataarifa za ziada kuhusu hicho wanachochangia!!
1. je uwanja ni kwa ajili ya kuhudumia kijiji cha CHATO?
2. kuna umbali gani kutoka kijiji cha Chato mpaka uwanja/mbuga ilipo ? (Iliyopewa jina chato)
3. kuna umbali gani wa uwanja ulipo (kwa kilomita) kutoka kiwanja kingine?
NB: pata umbali wa viwanja vya ndege vya KIA na ARUSHA wakati unajibu hili
4. Je maeneo gani mengine yanayohudumiwa na kiwanja husika?