Hivi Azam lengo la ni kusajili wachezaji wazuri au lengo lao ni kuchukua wachezaji wa Yanga?kwanini hawatafuti wachezaji bora kutoka nje?

Tatizo mmeumia kuona mlitaka mumpoteze Bangala ila Mungu kasaidia jamaa katua Azam. Lengo lenu la kwamba jamaa afulie kwa kukosa timu limefeli
Huwezi kuwa mchezaji ukakosa timu. Kama Yikpe ana timu Bangala angekosaje timu?
 
Naona mnaiandama sana Azam, ila msi huu kitaumna.
 
Hata kama ni kupata timu mlitamani kusikia katua Singida mlipotaka kumpeleka kwa mkopo au Ihefu,Namungo
Wanachukia sana wachezaji hawa hasa wakiwadai.Wamekuwa kama chama kijani.
 
Azam hawana uongozi mzuri, wanashindwa kutathminini mambo kwa kina.
Hakuna mchezaji yoyote waliye wahi mchukua kutokea Yanga akiwa nyota akafanya vizuri Azam. Ngasa alijaribu ila ikashindikana.
Kuanzia Kavumbagu, Domayo,Ngasa, Ngoma n.k kama yupo mnaye mfahamu aliye wika akiwa Azam mni kumbushe.
 
Hesabu huanza na 1,2,3+...+n hivyo tusubiri tuone na Fei itakuaje
 
Fei ashapiga hatric
 
Fei ashapiga hatric
Mimi sio mtabiri, ila ni mambo ambayo yameshatokea kwa wachezaji wengi walio toka pale Yanga kwa vishindo wakienda Azam.
Kitu ambacho nina uhakika 100% Azam si Yanga.
 
Nimempenda sana Rafiki yangu MPWAYUNGU Village.

Ameomba kwa Uongozi WA Jamii Forum ( Moderators kuwa w fute Nyuzi zake ZOTE kwa sababu ZIFUATAZO.

1. Ameona ZINAJAZA SEVA za Jamii Forum bila sababu yoyote ya Msingi.

2. Ameona hazina umuhimu sana Kwa Jamii.
Hazina madini AU fursa kwa Jamii kuweza kuzitumia kama ( Reliable source of Information).

NADHANI TUNAOANDIKA PUMBA TUJITEKEBISHE.

TUILINDE JAMII forum WAOVU wasiishinde.
 
Wanajulikana kua ni Dada zao makolo ndio maana tunawabonda kisawasawa kila tukikutana nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…