Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Huwezi kuwa mchezaji ukakosa timu. Kama Yikpe ana timu Bangala angekosaje timu?Tatizo mmeumia kuona mlitaka mumpoteze Bangala ila Mungu kasaidia jamaa katua Azam. Lengo lenu la kwamba jamaa afulie kwa kukosa timu limefeli