Hivi Azam lengo la ni kusajili wachezaji wazuri au lengo lao ni kuchukua wachezaji wa Yanga?kwanini hawatafuti wachezaji bora kutoka nje?

Hivi Azam lengo la ni kusajili wachezaji wazuri au lengo lao ni kuchukua wachezaji wa Yanga?kwanini hawatafuti wachezaji bora kutoka nje?

Tatizo mmeumia kuona mlitaka mumpoteze Bangala ila Mungu kasaidia jamaa katua Azam. Lengo lenu la kwamba jamaa afulie kwa kukosa timu limefeli
Huwezi kuwa mchezaji ukakosa timu. Kama Yikpe ana timu Bangala angekosaje timu?
 
Hata kama ni kupata timu mlitamani kusikia katua Singida mlipotaka kumpeleka kwa mkopo au Ihefu,Namungo
Wanachukia sana wachezaji hawa hasa wakiwadai.Wamekuwa kama chama kijani.
 
Azam hawana uongozi mzuri, wanashindwa kutathminini mambo kwa kina.
Hakuna mchezaji yoyote waliye wahi mchukua kutokea Yanga akiwa nyota akafanya vizuri Azam. Ngasa alijaribu ila ikashindikana.
Kuanzia Kavumbagu, Domayo,Ngasa, Ngoma n.k kama yupo mnaye mfahamu aliye wika akiwa Azam mni kumbushe.
 
Hesabu huanza na 1,2,3+...+n hivyo tusubiri tuone na Fei itakuaje
 
Azam hawana uongozi mzuri, wanashindwa kutathminini mambo kwa kina.
Hakuna mchezaji yoyote waliye wahi mchukua kutokea Yanga akiwa nyota akafanya vizuri Azam. Ngasa alijaribu ila ikashindikana.
Kuanzia Kavumbagu, Domayo,Ngasa, Ngoma n.k kama yupo mnaye mfahamu aliye wika akiwa Azam mni kumbushe.
Fei ashapiga hatric
 
Fei ashapiga hatric
Mimi sio mtabiri, ila ni mambo ambayo yameshatokea kwa wachezaji wengi walio toka pale Yanga kwa vishindo wakienda Azam.
Kitu ambacho nina uhakika 100% Azam si Yanga.
 
Nimempenda sana Rafiki yangu MPWAYUNGU Village.

Ameomba kwa Uongozi WA Jamii Forum ( Moderators kuwa w fute Nyuzi zake ZOTE kwa sababu ZIFUATAZO.

1. Ameona ZINAJAZA SEVA za Jamii Forum bila sababu yoyote ya Msingi.

2. Ameona hazina umuhimu sana Kwa Jamii.
Hazina madini AU fursa kwa Jamii kuweza kuzitumia kama ( Reliable source of Information).

NADHANI TUNAOANDIKA PUMBA TUJITEKEBISHE.

TUILINDE JAMII forum WAOVU wasiishinde.
 
Have you noticed kwamba kipindi simba anashinda kombe la league 4 years consecutively, Azam hakuwai kuwa serious na kulitaka kushindania kombe ila ghafla Yanga akianza kushinda back to back league title, ghafla Azam anakuwa serious kum-challenge yanga kuliko hata watani zetu wenyewe. That team is full of weird shit and led by clowns
Wanajulikana kua ni Dada zao makolo ndio maana tunawabonda kisawasawa kila tukikutana nao
 
Back
Top Bottom