Kumbe nyie ndio mnaotengeneza single mothers alafu hamuhudumii watoto wenu kwanini uzae na mwanamke ambaye bado hujafanya maamuzi ya kumuoa? Hivi unaona Raha kuwa na watoto ambao umezaa na mama tofauti tofauti? Unajenga aina gani ya familia?Swali zuri mkuu, Mwanamke mpe mimba, ukimkuta ni single mother na wewe mpe mimba zako, sasa unakaa nae wa nini kama humpi mimba akakuzalia?
Una maana gani mama?Wengine siyo Kwa hiari yao, dunia pana sana
Tumia AI kutafsiriNaongea kiswahili unanijibu kingereza mimi sio mzungu🚮
Yes naweza kuamini maana ameshatipia hali zote na anaelewa nini afanye kinachoshangaza kwann badhi ya watu hawaamini kama watu wanaachana yan mke na mume wakaachana kabisa ?Ndio mwanamke mwenye akili
Ndio niniTumia AI kutafsiri
Hata najua basiYes naweza kuamini maana ameshatipia hali zote na anaelewa nini afanye kinachoshangaza kwann badhi ya watu hawaamini kama watu wanaachana yan mke na mume wakaachana kabisa ?
Atakuja kukujibu ila ngoja mimi nijaribu, hivi kweli inafaa mtu avumilie ndoa iliyojaa maumivu ilmradi alinde brand kwamba yeye sio single mother? Kwann single mother's ndio hutupiwa lawama sana ?Una maana gani mama?
Ok😀🙌tokaaa
Wapi nimesema nikuwa nataka kuzaa nae?Waza kwanza wewe ni mwanamke uko tayari kuzaa kama mbwa kila mtoto na baba yake ?
Ukimaliza kuwaza njoo tujadiliane
Mwanamke atakupenda kama anapata kitu kutoka kwako kama hatopata atakupendaje kama ulivyo?"Young man: no matter how well you treat a lady, if you are not the man she has feelings for she will never appreciate your efforts. Ladies are loyal to their feelings, they do not care about your sacrifices. You have heard." Anonymous
Hata kama sio single mother ni kuwa hawezi kusaliti hisia zake. Wanawake wengi tu ambao sio single mama wamewasaliti watu wao hadharani kwa kupata wale watu wenye hisia nao.
Hii si way back story ninaumiajeUmeongea kwa jazba sana kijana, hebu tulia kunywa kwanza maji, take a cooling break.
Pole sana kwa yaliyokusibu.
Mapenzi sio kitu ila kikikosekana yanapunguaMwanamke atakupenda kama anapata kitu kutoka kwako kama hatopata atakupendaje kama ulivyo?
Kwa mwanaume ni rahisi?Siyo rahisi mwanamke kumsahau mwanaume aliyeweza kumfanya akaitwa mama.
Wanatupiwa lawama kwasababu ukishakuwa kuwa nae ndio unajua kwanini aliachwa na mwanaume mwenzakoAtakuja kukujibu ila ngoja mimi nijaribu, hivi kweli inafaa mtu avumilie ndoa iliyojaa maumivu ilmradi alinde brand kwamba yeye sio single mother? Kwann single mother's ndio hutupiwa lawama sana ?
Ndiyo.Kwa mwanaume ni rahisi?
Sasa mkuu, Haupo tayari kuzaa ila upo tayari kulea waliozaliwa na wengine? Kama haupo tayari kuwa baba na mume usitafute wanawake waliokomaa, tafuta mabinti wadogo, girlfriend.Mimi ndio sikuwa tayari kuzaa na nikawambia muda ukifika sahihi nitamwambia ila kwanini mnaona dili sana kuzaa Mimi nilitegemea uniulize swali la msingi sana kuzaa ni maamuzi ya mtu nani kakuambia ukidate na mtu miaka 2 ni lazima uzae nae? hata angekuwa pia Hana mtoto kwangu ni bado muda mdogo kufanya maamuzi ya kuzalisha