Mkuu, kwanini unahitaji kuwa na mwanamke? sababu ni mbili tu zinazoambatana, kuzaa na kulea watoto mengine ni uhalalishaji tu. Ndoa ni uhalalishaji wa kuzaa na kulea chini ya mwavuli wa familia. Nje ya kuzaa au ndoa mahusiano mengine ni kutapeliana tu. Sasa unaishi na mwanamke aliyekomaa miaka miwili hamzai mnafanya nini? Ni kutafuta kutapeliwa tu.Kumbe nyie ndio mnaotengeneza single mothers alafu hamuhudumii watoto wenu kwanini uzae na mwanamke ambaye bado hujafanya maamuzi ya kumuoa? Hivi unaona Raha kuwa na watoto ambao umezaa na mama tofauti tofauti? Unajenga aina gani ya familia?
Vijana mnapo fail ni kushindwa kusoma hisia za wanawake na kuzi control, the moment uki detect mwanamke hisia zake kwako zimekata hata umpe nini hutoweza kuwa nae, na ukiweza manage hisia zake hata uwe kwenye hali gani atatulia na wewe na ataridhika na weweMwanamke atakupenda kama anapata kitu kutoka kwako kama hatopata atakupendaje kama ulivyo?
Kila single mother ameacwa ? Wewe ni mwanaume mzima au barehe?Wanatupiwa lawama kwasababu ukishakuwa kuwa nae ndio unajua kwanini aliachwa na mwanaume mwenzako
Sasa kama ni ndio huyo single mama ana rudiana na mume yupiNdiyo.
Kusema ndiyo sijamaanisha wanaume wote , ni asilimia kadhaa inaweza kuwa above 60, so you never know huyo mume wake yeye atakuwa kundi lipi?Sasa kama ni ndio huyo single mama ana rudiana na mume yupi
Mbegu hazina rutuba 😂Mkuu, kwanini unahitaji kuwa na mwanamke? sababu ni mbili tu zinazoambatana, kuzaa na kulea watoto mengine ni uhalalishaji tu. Ndoa ni uhalalishaji wa kuzaa na kulea chini ya mwavuli wa familia. Nje ya kuzaa au ndoa mahusiano mengine ni kutapeliana tu. Sasa unaishi na mwanamke aliyekomaa miaka miwili hamzai mnafanya nini? Ni kutafuta kutapeliwa tu.
Mimi nachojua mapenzi hua yanaisha kabisa na pia hata asipokua single mama anaweza kupasha kiporo na jamaa yake wa kitambo ila huo ni umalaya nachojua mm sisi wanawake mpaka mtu ana cheat mapenz yameisha au ni tamaaKusema ndiyo sijamaanisha wanaume wote , ni asilimia kadhaa inaweza kuwa above 60, so you never know huyo mume wake yeye atakuwa kundi lipi?
Usicheke mkuu.Mbegu hazina rutuba 😂
Ni sahihi ila pia mkuu, si lazima utumie nguvu kubwa kumanage hisia zake, yeye tayari anajua anataka nini ndo maana atakukubali au kukukataa, na wewe jua unataka nini kutoka kwake.Vijana mnapo fail ni kushindwa kusoma hisia za wanawake na kuzi control, the moment uki detect mwanamke hisia zake kwako zimekata hata umpe nini hutoweza kuwa nae, na ukiweza manage hisia zake hata uwe kwenye hali gani atatulia na wewe na ataridhika na wewe
Upo sasa hii mkuu, ila jukumu moja wapo la mume kwa mke ni kuhakikisha ana mlinda na kumtunza ( jinsia ya kike ipo vulnerable na mambo mengi ) ndio maana sie ni walinzi na waangalizi wao, na vitabu vyote vya dini vimegusia hili na hata kwa mazingira yetu ya kawaida yapo ivyo, ukimuacha mwanamke randomly hata kama anakupenda ume muhatarisha tayari, nature yao hao ni kuwa protected ila ukiona anagoma kuwa protected na kufata rules piga chini asubuhi kabisaNi sahihi ila pia mkuu, si lazima utumie nguvu kubwa kumanage hisia zake, yeye tayari anajua anataka nini ndo maana atakukubali au kukukataa, na wewe jua unataka nini kutoka kwake.
Mfano, umempenda, umemchunguza unataka awe mama wa watoto wako, unamtongoza, kakubali, weka ndani, zalisha watoto, tunza, akileta umalaya au tamaa ni ajali kazini, vunja ndoa, endelea na mambo mengine ya malezi ya watoto wenu.
Niruhusu nicheke kiduchuUsicheke mkuu.
Juzi nilikua kwenye gari siti ya mbele nikakaa na Mzee mmoja hivi, safari imeenda akapokea simu akaongea na mtu kisha wakamalizana mimi sikusikia alichoongea nilikua mbali sana, baadae akaanzisha mazungumzo na Mimi nikawa km sitaki mazungumzo na yeye maana nilikomaa kuangalia nje dirishani, dereva akaendeleza convoy naye lakini Mzee yule akawa anataka kuongea na Mimi sio dereva maana dereva alikua anamuona ni mdogo hafai kuongea nae yale masuala kwa hio akahitaji mtu wanaeringana umri angalau apate kusema maneno mawili matatu na akiangalia Mzee ambae walau umri unakaribia ni Mimi ambae amekaa nae basi akalazimisha hivyo hivyo kwa kuendelea kusimulia story kuhusu wanawake na akampoint Mwanamke mmoja ambae alimfanyia visa vibaya sana ambavyo leo hii yeye anajutia mapenzi kiufupi Mzee ananiambia huyo mwanamke alimloga yeye alikua na familia ya mke na watoto wawili Mwanamke huyo akatokea kumkubari sababu jamaa alikua ni mtu wa matanuzi na pesa alikua nayo basi akapigwa kitu yaan akarogwa na akarogeka vizuri kabisa akaanza kuendeshwa km tairi bovu lishwa sana uchafu akawa chizi kwa huyo Mwanamke akampangia nyumba sio chumba nyumba yaan apartment Mwanamke akaigeuza Dangulo yaan anaingiza wanaume wanakaza akipewa hela na jamaa na yeye anaenda kuhonga wanaume waje wamkamue kwenye apartment aliyopangiwa na huyo Mzee, kuna kipindi jirani na watu wanaomfahamu na kujenga ukaribu nae wakamuuliza huyu Mwanamke humu ni nani yako akawaelezea wakamwambia sasa huyu Mwanamke mboni ana tabia fulani sababu jamaa alishapigwa uchizi akawa anawabishia ila kuna kipindi akajiuliza emu nijaribu kuhakikisha km ni kweli au sio kweli alichokutana nacho aliishia tu kuniambia Mzee usiwaamini wanawake katika Maisha yako kamwe yaan akasimamia kusema kua wanawake ni watu hatari sana nikajiuliza inamaana hata mkewe anaeishi nae pia ni hatari akanijibu kua yeye pia anajua kua mkewe ni hatari ndio maana anaishi nae kimasta ingawa ameshamfanyia visa vingi sana vibaya ambavyo angekua mwanamke mwingine asingeweza kuvumilia mpaka sasa, nimeona nifupishe ila maongezi yalikua marefu sana maana njia nzima Mzee alikua anaongea yeye tu mimi ni kusikiliza mwanzo mwisho sikutia neno kwa hio ilikua ni km simulizi fulani ndefu sanaImagine mwanaume kakuacha ukiwa una umwa ile mbaya Huna hata hela ya matibabu, haudumii mtoto wake na alikuwa amefukuzwa kazi na mtoto anadaiwa ada alafu anakuja kunipata Mimi namsovia vipengele vyake alafu kirahisi anarudiana na huyo mzazi mwenza hii ni akili ya namna gani? Na karibia single mothers wote wako hivi sijui huwa Wana agano gani na wazazi wenza wao?
Kwa ujumla mwanamke ni hatari sio single mama peke ake okJuzi nilikua kwenye gari siti ya mbele nikakaa na Mzee mmoja hivi, safari imeenda akapokea simu akaongea na mtu kisha wakamalizana mimi sikusikia alichoongea nilikua mbali sana, baadae akaanzisha mazungumzo na Mimi nikawa km sitaki mazungumzo na yeye maana nilikomaa kuangalia nje dirishani, dereva akaendeleza convoy naye lakini Mzee yule akawa anataka kuongea na Mimi sio dereva maana dereva alikua anamuona ni mdogo hafai kuongea nae yale masuala kwa hio akahitaji mtu wanaeringana umri angalau apate kusema maneno mawili matatu na akiangalia Mzee ambae walau umri unakaribia ni Mimi ambae amekaa nae basi akalazimisha hivyo hivyo kwa kuendelea kusimulia story kuhusu wanawake na akampoint Mwanamke mmoja ambae alimfanyia visa vibaya sana ambavyo leo hii yeye anajutia mapenzi kiufupi Mzee ananiambia huyo mwanamke alimloga yeye alikua na familia ya mke na watoto wawili Mwanamke huyo akatokea kumkubari sababu jamaa alikua ni mtu wa matanuzi na pesa alikua nayo basi akapigwa kitu yaan akarogwa na akarogeka vizuri kabisa akaanza kuendeshwa km tairi bovu lishwa sana uchafu akawa chizi kwa huyo Mwanamke akampangia nyumba sio chumba nyumba yaan apartment Mwanamke akaigeuza Dangulo yaan anaingiza wanaume wanakaza akipewa hela na jamaa na yeye anaenda kuhonga wanaume waje wamkamue kwenye apartment aliyopangiwa na huyo Mzee, kuna kipindi jirani na watu wanaomfahamu na kujenga ukaribu nae wakamuuliza huyu Mwanamke humu ni nani yako akawaelezea wakamwambia sasa huyu Mwanamke mboni ana tabia fulani sababu jamaa alishapigwa uchizi akawa anawabishia ila kuna kipindi akajiuliza emu nijaribu kuhakikisha km ni kweli au sio kweli alichokutana nacho aliishia tu kuniambia Mzee usiwaamini wanawake katika Maisha yako kamwe yaan akasimamia kusema kua wanawake ni watu hatari sana nikajiuliza inamaana hata mkewe anaeishi nae pia ni hatari akanijibu kua yeye pia anajua kua mkewe ni hatari ndio maana anaishi nae kimasta ingawa ameshamfanyia visa vingi sana vibaya ambavyo angekua mwanamke mwingine asingeweza kuvumilia mpaka sasa, nimeona nifupishe ila maongezi yalikua marefu sana maana njia nzima Mzee alikua anaongea yeye tu mimi ni kusikiliza mwanzo mwisho sikutia neno kwa hio ilikua ni km simulizi fulani ndefu sana
Mwanamke anayejitambua anajitambua tu sio lazima awe single mother.Ila mkuu single mothers ni wanawake wanajitambua na wamekomaa ndio maana wavulana wanapaswa kuwaepuka
Mchungaji wake anajua nini Mkeo anataka maana kile asichokwambia anamwambia Mchungaji, finish1. Kaa ukijua hakuna mwanaume kokote duniani anayejua "nini mwanamke anataka"
Kosa ni baba wa mtoto akirudisha majeshi na kupiga comeback ya hatari anagawa dozi double double au triple zaidi yako yaan akiambiwa laki anatoa laki 3, wewe utaonekana fala tu ambae ukiambiwa hata 50 unatoa 30 umejifunya sana 20 huku mwenzio anaambiwa laki anatemesha laki 5 tuulize sisi, akirudi baba yake na huyo mtoto wewe unaonekana fala tu labda baba wa mtoto awe amekufa hayupo haiHuyo hakuwa tayar ila ukimpata singo mama anaejua maisha aki utafurahi sana sana upate anaekushauri na sio wa kukupa mbususu tu hadi unajiona n wewe tu noo. Wapo wanaojua maana ya life na ukimpata ambae ukifanya kizuri ndo anakushabikia kwa kukupa kikojoleo huyo toroka na hata suruaal acha huko kwake kama unaendapo. Na ukumbuke kuwa the only shimo a man enters alone yaani 1 army man n kaburi tu mengne n ya jumuia. Na duniani mwanamke aliye na mapenzi ya kweli ni mamako tu hao wengne ni piga tukio twende