Hivi baadhi ya wanaooa Single mothers wakiwa sio single fathers huwa Wana ujasiri wa aina gani?

Inaonesha mkuu wewe ni choka mbaya! Pole sana! Sasa ukutwe wewe ni choka mbaya halafu hujui kutomb....lazima upigwe kibuti tu! Singo maza mnawaandama bure tu shida ni wanaume wenyewe!
 
Mmeishia wapi na huyo single mother?
 
Nakubaliana na wewe.
 

Hemu Kom kabisa, kwa sisi single fathers ndo tunaoa single Mothers, Hasha, hapana
 
Sasa kwanini unalalama kama hukua na mpango naye? Nayeye inawezekana alishakuona huna mpango naye ndio akajiongeza.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚kazidiwa kete anakuja kulia lia hapa.
 
Mkuu, tafuta wanawake 10 wasio na watoto wenye wapenzi serious anza kuwapa hizo laki 5 uone kama sababu ya usaliti ni huo usingle mother.

Ukimaliza tafuta wake 10 za watu ambao hawajazaa nje ya ndoa anza kuwapa hizo laki 5 uone kama watakataa sababu sio single mother.

Ukitoka hapo chukua single mother 10 ambao wanahudumiwa vizuri na wazazi wenzao anza kuwapa hizo laki 5 halafu wakatae sababu wazazi wenza hawajawatelekeza.
 
Ajaribu kwanza kunipa tuone kama nitakubari😁😁
 
Reactions: Tsh
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚kazidiwa kete anakuja kulia lia hapa.
Wewe ni mwanaume unapokuwa na mwanamke mwanzoni ni kwaajili ya mahusiano lakini kufanya maamuzi inategemea na yeye alivyo kwako na Kuna wakati mwingine unakuta manzi ambaye huna mpango anaweza pia kubadilisha mawazo yako kwake ikiwa utaishi nae vizuri hapa utakuwa umepata idea ninachozungumza
 
Sawa.
 
Hapo ni kusema kwamba ni mimi ndio sijakuelewa au wewe ndio haujanielewa? Nimekwambia nimeandika na ushahidi nikiwa nao sijaandika kufurahisha umati wa JF, mkuu emu jaribu kuielewa point yangu ya msingi sio pesa elewa sizungumzii pesa hapo unanielewa ninachozungumzia ni zaidi ya pesa maana huyo single maza anaweza akawa anakatwa na mchoma mkaa ambae hampi hata 100 mbovu ila wewe unahudumia na chini haupewi au unapewa kwa masharti magumu sana, unanielewa ninachomaanisha sasa hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…