Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Kwasasa tusidanganyane hakuna Chama cha siasa cha umpizani kinachoshawishi CHADEMA sio Chama cha kukitegemea hata viongozi wake wenyewe bado hawajajitambua na kwa nyakati hizi hatuna viongozi au wanasiasa wenye ushawishi wengi wanatetea matumbo yao acheni kujichosha hakuna upinzani now ulishakufa kipindi cha Hayati Magufuli