Pre GE2025 Hivi bado mna imani na CHADEMA bado kuja kuikomboa Tanzania?

Pre GE2025 Hivi bado mna imani na CHADEMA bado kuja kuikomboa Tanzania?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tunataka mfumo wa haki wa uchaguzi kuanzia ngazi ya kata mpaka urais.
Tunataka matokeo ya urais kupingwa mahakamani.
Tunataka mgombea huru.

Tukiendelea na mfumo huu wa sasa wa uchaguzi tutakuwa maskini mpaka Yesu arudi.
wewe unahis ni rais yupi atakubali kufanya ivy
 
Rais Nyerere tu ndiye alikuwa anachukia wizi na ufukara.

Itafika mahali labada miaka 30 ijayo wakati wa kizazi hicho wataamua kunyukana ili wapate katiba nzuri kama Kenya
hakuna.wakunyukana hap tz wakiona magar ya jeshi tu mbio
 
kwasasa tusidanganyane hakuna Chama cha siasa cha umpizani kinachoshawishi CHADEMA sio Chama cha kukitegemea hata viongozi wake wenyewe bado hawajajitambua na kwanyakati hizi hatuna viongozi au wanasiasa wenye ushawishi wengi wanatetea matumbo yao acheni kujichosha hakuna upinzani now ulishakufa kipindi cha magufuli
Umpinzani❎
Upinzani✅
 
usiamin mtu akilamba utamu atakumbuka kwao na ndugu zake na kuangaika kutokomeza umasikini wa familia yake
Watu kama nyie tunawaita “denialists “ na ni another form ya manipulators. Hawa waliopo nje tusiwaamini kwasababu wataenda kupambania familia zao, Sawa… Je hawa waliopo wanafanyaje? Au wao ndio wana hati miliki ya kupambania familia zao na wengine wote hawaruhusiwi?

Unajadili kitoto 🗑️
 
sio kitoto embu chunguza vzr kuna kiongozi mwenyewe ana uchungu na hii nchi
 
kwasasa tusidanganyane hakuna Chama cha siasa cha umpizani kinachoshawishi CHADEMA sio Chama cha kukitegemea hata viongozi wake wenyewe bado hawajajitambua na kwanyakati hizi hatuna viongozi au wanasiasa wenye ushawishi wengi wanatetea matumbo yao acheni kujichosha hakuna upinzani now ulishakufa kipindi cha magufuli
Ukombolewe kutoka kwenye nini?
 
Back
Top Bottom