Chalii Wa Kipare
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 462
- 907
Kuweka Hatima ya Nchi kwenye kikundi cha watu ni upumbavu usio mithilika, yeye kama Mwananchi amechukua jukumu gani kubadilisha hali hii ya ukandamizwaji? Tunatawaliwa Kidikteta kwasababu tumeshindwa kuwajibika kama Wananchi, tunakaa kuwalaumu Wanasiasa wakati Sisi wenyewe hatuwajibiki hata kidogo.Kuamini CHADEMA itatukomboa inawezekana sio kweli, ila kuamini tukiacha CCM madarakani tutakombolewa huo ni UWENDAWAZIMU uliotukuka.