Pre GE2025 Hivi bado mna imani na CHADEMA bado kuja kuikomboa Tanzania?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
kwasasa tusidanganyane hakuna Chama cha siasa cha umpizani kinachoshawishi CHADEMA sio Chama cha kukitegemea hata viongozi wake wenyewe bado hawajajitambua na kwanyakati hizi hatuna viongozi au wanasiasa wenye ushawishi wengi wanatetea matumbo yao acheni kujichosha hakuna upinzani now ulishakufa kipindi cha magufuli
Bila chadema hakuna chama kingine kitaleta ukombozi nchini. Labda ipite miaka 100. Tuiunge mkono Chadema ili tupate ukombozi wa pili wa kiuchumi na kijamii. Haya mambo ya kuwa ili uletewe maji, umeme nk chagua fulani yataisha kwa chadema
 
chadema ipi unayo izungumzia wewe?
 
kwasasa tusidanganyane hakuna Chama cha siasa cha umpizani kinachoshawishi CHADEMA sio Chama cha kukitegemea hata viongozi wake wenyewe bado hawajajitambua na kwanyakati hizi hatuna viongozi au wanasiasa wenye ushawishi wengi wanatetea matumbo yao acheni kujichosha hakuna upinzani now ulishakufa kipindi cha magufuli
Chama chenye uwezo wa kupata kura zaidi ya milioni moja kwenye uchaguzi mkuu ni chama kikubwa sana.
Imagine hao watu milioni moja wakaanzisha uasi, ni hasara kubwa sana kwa Taifa.
Tusipuuze hivi vyama vyenye watu wengi.
 
..bora chama kiwe na wachumia tumbo kuliko genge la wauwaji.

..Ccm imeshamwaga DAMU za watu na haiwezi kuacha.

..ukipigia kura Ccm ujue unachagua ufisadi, utekaji, utesaji, na mauaji.
 
kwasasa tusidanganyane hakuna Chama cha siasa cha umpizani kinachoshawishi CHADEMA sio Chama cha kukitegemea hata viongozi wake wenyewe bado hawajajitambua na kwanyakati hizi hatuna viongozi au wanasiasa wenye ushawishi wengi wanatetea matumbo yao acheni kujichosha hakuna upinzani now ulishakufa kipindi cha magufuli
Swali hili linapendeza zaidi kuwauliza wadau kama bado wana imani na CCM ambayo inakataa kwamba hakuna aneyetekwa bali wanajitekenya ama kuigiza
 
Chama chenye uwezo wa kupata kura zaidi ya milioni moja kwenye uchaguzi mkuu ni chama kikubwa sana.
Imagine hao watu milioni moja wakaanzisha uasi, ni hasara kubwa sana kwa Taifa.
Tusipuuze hivi vyama vyenye watu wengi.
Hakika, haipo haja ya kupuuzia jambo
 
Lakini tuna uhakika na jambo moja: CCM sio tu imeshindwa kuikomboa nchi, bali sasa imegeuka kuwa chama cha mashetani wanaoteka na kuua wananchi. Tunatakowa tuondokane na huyu shetani. Hata kama titanchi itakuwa maskini, angalao watu wawe na uhakika wa kuishi mpaka pale Mungu alipowapangia, siyo kwa kutekwa na kuuawa na maCCM.
 
Sawa tumekuelewa, Tufanyeje sasa?
Anataka mkubali kutekwa na kuuawa bila malalamiko. Wanasikitika kabla hawajamaliza ile list yao ya watu wa kuwatekana kuwaua, watu wamewajia juu. Hawa wauaji wote, hilo limewafanya wabakie kuhangaika na mada za ajabu ajabu, wakiamini labda zitawasaidia katika ushetani wao.
 
kwasasa tusidanganyane hakuna Chama cha siasa cha umpizani kinachoshawishi CHADEMA sio Chama cha kukitegemea hata viongozi wake wenyewe bado hawajajitambua na kwanyakati hizi hatuna viongozi au wanasiasa wenye ushawishi wengi wanatetea matumbo yao acheni kujichosha hakuna upinzani now ulishakufa kipindi cha magufuli
Mtu uliyeridhika na utawala wa CCM, inakuwaje wakati huu unasumbuka na CHADEMA au upinzani kwa ujumla?

Halafu, kama Magufuli (aliyekuwa mtu muhimu sana kwako) alishaua upinzani nchini, tatizo liko wapi leo hii? Hiyo si "mission accomplished" kwako? Huu ni wakati wa raha tupu kwako. Shida ni nini tena?
 
shida mnapotosha watu.
 
Back
Top Bottom