Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
- #21
makonda show-off yule sindo alikuwa anagombania gorofa na gsmKama MAKONDA, MPINA, MWABUKUSI..........NK!
hao wengine wakilamba sukari wakaona utamu wake wanasahau kabisa kilicho wapeleka mjengoni