Pre GE2025 Hivi bado mna imani na CHADEMA bado kuja kuikomboa Tanzania?

Pre GE2025 Hivi bado mna imani na CHADEMA bado kuja kuikomboa Tanzania?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
kwasasa tusidanganyane hakuna Chama cha siasa cha umpizani kinachoshawishi CHADEMA sio Chama cha kukitegemea hata viongozi wake wenyewe bado hawajajitambua na kwanyakati hizi hatuna viongozi au wanasiasa wenye ushawishi wengi wanatetea matumbo yao acheni kujichosha hakuna upinzani now ulishakufa kipindi cha magufuli
Wapinzani wa maana walikuwa akina maalim Seif na wenzake walipokuwa CUF kabla ya kupinduliwa na mapindikizi akina Lipumba.
 
Wapinzani wa maana walikuwa akina maalim Seif na wenzake walipokuwa CUF kabla ya kupinduliwa na mapindikizi akina Lipumba.
kweli ksbisa upinzani wa 2015 ulikuwa mzuri sana up nikasema tz inakuwa sasa kisiasa baada ya hapo ni watu kupambania njaa zao
 
shida mnapotosha watu.
Ahaa. Kumbe. Yaani CHADEMA iliyouawa na Magufuli bado ina jeuri ya kupotosha Watanzania? Basi sawa, endelea na hiyo kazi adhimu ya kushtua Watanzania kuwa, wasidanganyike, upinzani ulishakufa kabla ya Magufuli.

Kila la heri.
 
CCM mna mbinu nyingi sana za kuwapumbaza wajinga ikiwemo hii!
Wala si pumbazo...

Kweli ni wajinga na ujinga ni miongoni mwa wale maadui watatu aliotuasa nao hayati baba wa taifa kuwakabili ni kutengeneza MAZINGIRA ya utulivu na amani ya nchi.....bahati mbaya CHADEMA hawataki amani iwepo....

Rodney Mbowe ana akili zaidi yao....huyooo Qatar batani....
 
Wapinzani wa maana walikuwa akina maalim Seif na wenzake walipokuwa CUF kabla ya kupinduliwa na mapindikizi akina Lipumba.

..Wazanzibari, na haswa Wapemba, waliteswa sana na vyombo vya DOLA wakati Cuf ina nguvu.

..Kuna wakati Juma Duni na wenzake walitengenezewa kesi ya UHAINI.

..Chadema ilipoonekana ina nguvu na wenyewe wakapelekewa moto na vyombo vya DOLA kwa kutekwa, kufungwa, na mauaji.

..Katika hali hiyo tukashuhudia jaribio la mauaji dhidi ya Mnadhimu wa kambi ya upinzani, kufungwa kwa wajumbe wa kamati kuu ya Chadema, na kesi ya ugaidi dhidi ya Mwenyekiti.
 
kwasasa tusidanganyane hakuna Chama cha siasa cha umpizani kinachoshawishi CHADEMA sio Chama cha kukitegemea hata viongozi wake wenyewe bado hawajajitambua na kwanyakati hizi hatuna viongozi au wanasiasa wenye ushawishi wengi wanatetea matumbo yao acheni kujichosha hakuna upinzani now ulishakufa kipindi cha magufuli
Nawe una imani na hawa vibaka waliopo?.
 
..bora chama kiwe na wachumia tumbo kuliko genge la wauwaji.

..Ccm imeshamwaga DAMU za watu na haiwezi kuacha.

..ukipigia kura Ccm ujue unachagua ufisadi, utekaji, utesaji, na mauaji.

Kuwa ndani ya CCM ni kujitia unajisi, maana yake na wewe umekubali kuwa sehemu ya wauaji na watekaji, ni kukubali kumtumikia shetani.
 
Back
Top Bottom