Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Inawezekana ni kweli, je ccm wanodhidi kuharibu nchi yetu, wanafanya kazi kwa ajiri ya nini?kwasasa tusidanganyane hakuna Chama cha siasa cha umpizani kinachoshawishi CHADEMA sio Chama cha kukitegemea hata viongozi wake wenyewe bado hawajajitambua na kwanyakati hizi hatuna viongozi au wanasiasa wenye ushawishi wengi wanatetea matumbo yao acheni kujichosha hakuna upinzani now ulishakufa kipindi cha magufuli
sitaki kujichosha mkuuChukua hiyo fursa uanzishe chama chako cha upinzani...!
ngojee toleo la pili la vijanaHao wameshajikomboa kiuchumi ,
Tuwasubiri wengine .
nchi inaharibiwa na watz wote sio ccm toa uchama hapo hakuna wazalendo now daysInawezekana ni kweli, je ccm wanodhidi kuharibu nchi yetu, wanafanya kazi kwa ajiri ya nini?
Kuna adui mbele, ana siraha za, kutosha, na fedha,
Kuna kikundi cha wapiganaji tumekituma kipambane, wana siraha kidogo, na fedha chache, we umeona askari ka jikwa kaanguka, unasema, hafai,hatutashinda Vita,! Msaidie bro, mnyanyue, usimseme wakati wewe umejificha ndani, vitani huendi, lakini wakishinda Vita, utafaidika,
ni yupi uyo?Mgombea huru
nchi hii kwasasa kuna wazalendo?Mwanaume mzima, unassume matatizo ya Tz , CDM ipambane peke yake.
Wewe unafanya nini? ławama tu na mdomo.
Sawa tumekuelewa, Tufanyeje sasa?kwasasa tusidanganyane hakuna Chama cha siasa cha umpizani kinachoshawishi CHADEMA sio Chama cha kukitegemea hata viongozi wake wenyewe bado hawajajitambua na kwanyakati hizi hatuna viongozi au wanasiasa wenye ushawishi wengi wanatetea matumbo yao acheni kujichosha hakuna upinzani now ulishakufa kipindi cha magufuli
Mwabukusini yupi uyo?
tuzidi kuomba tupate watu wazalendo na wenye uchungu ya nchi yaoSawa tumekuelewa, Tufanyeje sasa?
usiamin mtu akilamba utamu atakumbuka kwao na ndugu zake na kuangaika kutokomeza umasikini wa familia yakeMwabukusi
Mkuu inabidi ubadili mtazamo.sitaki kujichosha mkuu
Kama MAKONDA, MPINA, MWABUKUSI..........NK!tuzidi kuomba tupate watu wazalendo na wenye uchungu ya nchi yao
mkuu mm sikufich nikipata ata teuzi nitaajikita kutokomeza umasikin wa kwetuMkuu inabidi ubadili mtazamo.
Kama mambo hayaendi vizuri, na wote hatutaki kujichosha, nani atasaidia kuleta mabadiliko?!