Hivi Bongo Movie kuna mtu ana elimu ya kiwango cha shahada(Degree)?

na wamesahau kuwa, kuigiza nako unatakiwa kutumia akili nyingi sana, zinazotakiwa zichanganywe na usomi, kwasababu wasikilizaji/watazamaji ni wa aina tofauti (wasomi na wasiosoma).
 
Sasa Mtu kama Ray Kigosi kaishia darasa la saba unafikiri mpaka afike Degree si atakua Mzee tayari??
Tena hapo asiwe anafeli na kichwa kishachanganya na mambo ya mademu uanze kumuuliza factors influencing population distribution si utamuua??
 
Ona unavyojitia aibu na ku-prove nilichosema kwamba wengi wenu hamna tofauti yoyote na hao Bongo Movie mnaowakejeli!! Eti nafasi ya 11... Unajisifu usomi wakati hufahamu hata maana ya ranking by academic performance!

Hakuna chuo Tanzania ambacho kimewahi kushika hiyo nafasi lakini kwavile nawe ndo wale wale, unakurupuka tu na sources za kuokoteza!!

So, here's a thing!! Badala ya kuniambia eti nirudi shule basi ningeshauri tumia huo ushauri wako kwa manufaa yako mwenyewe kwa sababu bado mweupe hata kwa vitu vidogo!!

Kama unashindwa hata kufahamu hizo ranking, sioni kama una tofauti yoyote na akina Steve Nyerere! Or else, weka hapa hiyo source inayosema UDSM or any Tanzanian University kilicho among Top 20 let alone hiyo top 10!

I am 100% SURE huna ubavu wa kutoa hiyo source thus proving nilichosema!!!
 
Kama wana hela, hizo degree sio ishu sana. Hela ndo za msingi. Kujisifia degree ni kizamani sn mkuu. Mi mwnyw na elimu yng maisha yananipiga vitasa vya uso kichizi yn. Bora hata ile miaka mi3 ya chuo, ningekuwa nipo kitaa nasaka noti.
WEWE hujaelewa inaonesha nikatika HAO waluokosa HIYO degree SUALA hapa NI vipi wataigiza kimafanikio bila ya vichwa VYAO kuwa Na upewo mkubwa Wa kufaham mambo?? Hatuongelei mafanikio ya kifedha HAPA hata uwenazo IZO hela bado Elimu itaitwa Elimu tuu
 
NI ktk wale walioikosa hao hvyo mchukulie tuu
 
NI ktk wale walioikosa hao hvyo mchukulie tuu
 
WEWE hujaelewa inaonesha nikatika HAO waluokosa HIYO degree SUALA hapa NI vipi wataigiza kimafanikio bila ya vichwa VYAO kuwa Na upewo mkubwa Wa kufaham mambo?? Hatuongelei mafanikio ya kifedha HAPA hata uwenazo IZO hela bado Elimu itaitwa Elimu tuu
Hilo umetunga swali lako au ni swali la mleta mada..?? Angeuliza hivi ningejibu tofauti na nilivyojibu.

Sent from my D5322 using JamiiForums mobile app
 
Shahada ya nn sasa wakati sanaa ni kipaji na ubunifu sio hizo elimu za kukariri.
 
Halafu elimu za darasani hailipi siku hizi,labda zamani Kwa ulimwengu wa SAA hizi kitakiwacho ni unajua nn kuhusu maisha,au nani anahitaji nn kuangali wapi kuna gap uijaze kubadili wazo au hitaji kuwa faida ndo msingi,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…