Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa Mtu kama Ray Kigosi kaishia darasa la saba unafikiri mpaka afike Degree si atakua Mzee tayari??yaani degree za kutafutiza?hahahaha, siwacheki kwasababu hawajasoma, kwasababu hata mimi nimesoma kwa neema ya Mungu tu kulingana na uchumi wa familia yangu ulivyokuwa....lakini hawa bongo movie wanapata hela nyingi tu lakini hawataki hata kujiendeleza. wametia aibu sana kweney script zao wanazotafsiri toka kiswahili kwenye kiingereza, ni aibu tupu, na wana hela lakini hawataki hata kuajiri mtu anayejua lugha awasaidie, kila kitu anafanya mtu mmoja, mmiliki wa movie, kuanzia director hadi mwigizaji, hani msanifu..everything. na movie moja inakamilika ndani ya miezi mitatu. wanakuambia ndani ya mwaka mmoja wanao uwezo kutengeneza movie tatu (kwa jinsi wanavyoona wanafanya kazi kwa bidii), wakati marekani movie moja inatumia miaka kadhaa.
Ona unavyojitia aibu na ku-prove nilichosema kwamba wengi wenu hamna tofauti yoyote na hao Bongo Movie mnaowakejeli!! Eti nafasi ya 11... Unajisifu usomi wakati hufahamu hata maana ya ranking by academic performance!hapo kwenye red, that's why we say mwende shule kabla ya kuanza kuigiza. ni ranking ya wapi Africa, na mwaka gani ambayo udsm haipo ndani ya 30s? wakati kuna kipindi ilishashika nafasi ya 11 Africa, vyuo 9 vikiwa vyote vya Africa kusini, kimoja Misri na kingine somewhere kama sikosei. go to school bro ndio urudi kuigiza.
Bure kabisa. Udokta hauokotwi barabaraniC Kuna mmoja anajiita Dr Chen?
Eti Mange Kimambi anamwitaga ananuka K, haa! haaa! haaa!Jackline wolper
Pale kuna unga na ufriimasoniHivi unafahamu kwamba Diamond hana hata diploma?
Je maisha yake yakoje?
Hivi unafahamu kwamba Diamond hana hata diploma?
Je maisha yake yakoje?
WEWE hujaelewa inaonesha nikatika HAO waluokosa HIYO degree SUALA hapa NI vipi wataigiza kimafanikio bila ya vichwa VYAO kuwa Na upewo mkubwa Wa kufaham mambo?? Hatuongelei mafanikio ya kifedha HAPA hata uwenazo IZO hela bado Elimu itaitwa Elimu tuuKama wana hela, hizo degree sio ishu sana. Hela ndo za msingi. Kujisifia degree ni kizamani sn mkuu. Mi mwnyw na elimu yng maisha yananipiga vitasa vya uso kichizi yn. Bora hata ile miaka mi3 ya chuo, ningekuwa nipo kitaa nasaka noti.
NI ktk wale walioikosa hao hvyo mchukulie tuuHiki ulichokiandika kinahusiana vipi na swali langu?
Diamond kukosa hata Diploma kunahusiana vipi na swali langu?
Diamond ni msanii wa Bongo Movie?
Mbona hata Msukuma au Bashite hawana shule, maisha yao yakoje?
Usionekane tu kua umechangia, changia kitu cha maana.Changia kitu chenye mantiki.
NI ktk wale walioikosa hao hvyo mchukulie tuuHiki ulichokiandika kinahusiana vipi na swali langu?
Diamond kukosa hata Diploma kunahusiana vipi na swali langu?
Diamond ni msanii wa Bongo Movie?
Mbona hata Msukuma au Bashite hawana shule, maisha yao yakoje?
Usionekane tu kua umechangia, changia kitu cha maana.Changia kitu chenye mantiki.
Hilo umetunga swali lako au ni swali la mleta mada..?? Angeuliza hivi ningejibu tofauti na nilivyojibu.WEWE hujaelewa inaonesha nikatika HAO waluokosa HIYO degree SUALA hapa NI vipi wataigiza kimafanikio bila ya vichwa VYAO kuwa Na upewo mkubwa Wa kufaham mambo?? Hatuongelei mafanikio ya kifedha HAPA hata uwenazo IZO hela bado Elimu itaitwa Elimu tuu
Masters ya nini?Marekebisho Nick mbshi hana masters, ni Nick wa II ndo mwenye masters
Ha ha sio fresh hivyoMuhogo mchungu ana degree ya pharmacy
[emoji23]Mbona hemed ana PHD
Usiseme kabisa yaani zile pesa natamani ningefanyia bness[emoji23]Kama wana hela, hizo degree sio ishu sana. Hela ndo za msingi. Kujisifia degree ni kizamani sn mkuu. Mi mwnyw na elimu yng maisha yananipiga vitasa vya uso kichizi yn. Bora hata ile miaka mi3 ya chuo, ningekuwa nipo kitaa nasaka noti.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] . Noma sn. Mi nazijutia mpk leoUsiseme kabisa yaani zile pesa natamani ningefanyia bness[emoji23]