Hivi Bungeni ni lazima kila mbunge achangie hoja? Babu Tale anatia aibu Sana

Ipo haja ya kuandikwa upya vigezo vya mtu kuwa mbunge ili tupate wawakilishi wazuri.
 
Mamaaminaaa...[emoji350] [emoji1]nilidhani ni mimi tu ninaye ona aibu
 
Hicho ni kikao cha wananchi.

Kila aina ya watu wanapaswa kuwamo humo.

Anawawakilisha watu wa aina yake na wanamuelewa.
 

Hao wasanii walipewa ubunge na Magufuli ili waisaidie CCM kupata mvuto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…