Hivi Bungeni ni lazima kila mbunge achangie hoja? Babu Tale anatia aibu Sana

Sio lazimaachangia kwa kuongea, kuna michango ya maandishi pia huw waziri husika huonyesha kuitambua na kuipokea
 
Namshukuru sana mke wangu , alinidekeza - Babu Tale
 
Ipo haja ya kuandikwa upya vigezo vya mtu kuwa mbunge ili tupate wawakilishi wazuri.
Hili halitawezekana kwasabb ni lazima kifungu kibadilike kwenye katiba. Na kifungu kinabadilishwa na bunge. Wabunge wenyewe ndiyo akina Babu Tale, Msukuma, Lusinde, Maganga (wa Mbogwe), n.k unategemea kitabadilishwa??
 
Afu alipita bila kupingwa,,,Ila Jiwe alaaniwe uko aliko
 
Ukimponda huyu maana yake unawaponda na wananchi wake waliomchagua,nina uhakika watakuwa wanamsikia anapokuwa anatoa hoja zake,kwahiyo hao hao ndio watakao muhukumu uchaguzi ujao,na kama alipita kwa ajili ya pesa zake basi endelea tu kusubiri mpaka pesa zitakapomuishia...
 
Chadema wanataka kufunga ndoa na ccm hilo lipo wazi kwa maneno haya ya maridhiano kwisha habari yao sasa hao kina Halima mdee wote wanahitajika ACT na mwaka 2025 watakuwa ndio wengi bungeni maana li mbowe halikawii kumvuruga mama pamoja na favour alizopewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…