Tulikauka koo kwa kuwashauri, kuwapigia magoti, kuwasisitiza, jamani acheni kuwa WANAHARAKATI, jitahidini muwe WANASIASA, raia wawaelewe na kuwapenda ili wawapigie kura mpate KULA, wao vichwa ngumu, wabishi kama mishipa, wanajifanya watoto wa mjini, waking'ang'ania mitandaoni kama dada Mange, kama vile kura wapate kula zapigwa mitandaoni, angalia walivyogalagazwa! Kama bibi aliyekula vyetu tukaamuwa kuumla kibabe!
Mbururura kabisa hawa, wamekipata kichapo cha mbwa koko, mpaka waweze ku-recover sijuwi mwisho wa Dunia!