Hivi chuoni watu hawasomi bila "discussion"? Kila mara naambiwa niko discussion

Hivi chuoni watu hawasomi bila "discussion"? Kila mara naambiwa niko discussion

Halafu nilihisi tu nikataka kusema hivyo maana kuna watu mkifanya nao discussion wanawarudisha nyuma bora asiwepo afanye vitu vingy😂
😂😂😂😂😂😂 dah!!!!
Mkuu acha, mimi sikuaga mrudisha nyuma, sema wale jamaa na wale madem walikua wananiona kama ki wingu sina lolote so kaz yao ikawa kunituma tuma.
Sikuaga na noma kwanza shule ilikua ishanichosha toka naanza first year na mwaka wa 3 nikaondoka na lower second yangu yakinyoooongee...ila kwenye Computer programming and programming projects huko nilikua nasimamisha A tu kwingine makalai ya kutosha
 
Ila kiukweli kabisa chief bila kupepesa macho, demu akiwa chuo nawe upo nje ya chuo ni ngumu Sana kusema huyo ni demu wako tena, kuna mifano mingi tumeiona.

Kuna ndugu yangu mmoja alikuwa kama wewe mwisho wa siku kibini ikaacha tela,kuna demu wkt tupo chuo nikawa naye, jamaa yake alikuwa mwanza sisi tukiwa chuo moro naye na jamaa yake kibini ikaachia tela.

So lolote linawezekana chief be strong
 
Kila mara unaambiwa nipo discussion subiri kidogo, sasa najiuliza huko chuo watu hawana muda wa kusoma wenyewe? Au discussion ni lazima chuoni?
Kwa sisi ambao tulikuwa hatuhudhurii madarasa mara kwa mara kutokana na pilika zingine discussion ilikuwa muhimu sana, na nimehudhuria kama mara zote

Pia kuna muda mwengine wakati wa group assignment ilikuwa muhimu kupiga discussion
 
Back
Top Bottom