Hivi chuoni watu hawasomi bila "discussion"? Kila mara naambiwa niko discussion

Hivi chuoni watu hawasomi bila "discussion"? Kila mara naambiwa niko discussion

Acha kujistukia mkuu manzi yangu ya chuo mwenyewe haijanipa mbususu two weeks now ni full presentations,group discussion and tests wakijiandaa na Ue wiki ijayo so ondoa wazo kuwa analiwa maana mawazoni mwao wanawaza kujikomboa na disco tu.
 
Demu wako akienda chuo, hata kama ni mkeo.... we msubiri tu hadi arudi nyumbani (kama atarudi).
Kuendelea kujiingiza kwenye ratiba zake na kujipa umuhimu ni kujitafutia matatizo ya moyo tu.
 
Wewe muda wako bado ngoja boom liishe ndo discussion zitapungua!!!
 
Kila mara unaambiwa nipo discussion subiri kidogo, sasa najiuliza huko chuo watu hawana muda wa kusoma wenyewe? Au discussion ni lazima chuoni?
Katika vitu vilivyokuwa vinanipa tabu ni kusoma kwa discussion, unakuta kuna topic moja ngumu ya engineering mathematics, au power system, wajumbe wanataka mkae kama group kufanya discussion, hii kitu ilikuwa inanipa tabu, Sana, mi n ilikuwa na soma mwenyewe,nagonga bongo mpaka nielewe, harafu nikisha kuwa vzr,hapo ndio naweza kwenda kwenye discussion, sio kusikiliza, Bali kwa 90%kufafsnulia wenzangu,
In those days, computer programming, Electrical machine, engineering maths, n ilikuwa, nafundisha wenzangu kama Profesa vile!! pande zileeee DIT! Nikitoka hapo naenda kubeba nondo/Gym block 4 ground!! At early 20s how handsome I was!!
Elimu ya juu raha Sana, I wish kila kijanq wa Ki Tanzania angepata hii fulsa ya kufika vyuo vikuu/college,
Sasa nimeishakuwa dingi!nikipita pale DIT, huwa nawaangalia madogo, nafurahi kimoyo moyo!
 
Back
Top Bottom