BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 6,373
- 16,073
Hakuna corona yoyote, wewe ndio corona yenyewe na unatakiwa KUONDOSHWA.Corona ipo na inaendelea kusababisha vifo kwa wingi. Takwimu za sasa nilizopata (past two months) at least kwa Zanzibar zinatisha ila mamlaka hawataki kuzitoa. Kwa upande wa afya ya jamii (public heath code) ni makosa makubwa sana kwa mamlaka kuficha takwimu halisi kwa jamii, jamii inatakiwa ipate takwimu sahihi, na kupewa ufahamu wa kutosha nini maana ya hizo takwimu (simple interpletation), zaidi waelezwe nini cha kufanya kuepuka madhara haya. Sasa sisi tumejikita kwenye vitu tofauti; jamii ina uelewa mkubwa sana kuhusu mechi za laliga, simba na yanga, betting, new song za Diamong na Alikiba. Anyway tutafika , ila tutakuwa choka mbaya.
I wish i could be IGP, nyie VIRUS ningewachanja DAWA MAALUMU mnapukutika kiulaini.