Hivi Corona bado ipo?

Hivi Corona bado ipo?

Corona ipo na inaendelea kusababisha vifo kwa wingi. Takwimu za sasa nilizopata (past two months) at least kwa Zanzibar zinatisha ila mamlaka hawataki kuzitoa. Kwa upande wa afya ya jamii (public heath code) ni makosa makubwa sana kwa mamlaka kuficha takwimu halisi kwa jamii, jamii inatakiwa ipate takwimu sahihi, na kupewa ufahamu wa kutosha nini maana ya hizo takwimu (simple interpletation), zaidi waelezwe nini cha kufanya kuepuka madhara haya. Sasa sisi tumejikita kwenye vitu tofauti; jamii ina uelewa mkubwa sana kuhusu mechi za laliga, simba na yanga, betting, new song za Diamong na Alikiba. Anyway tutafika , ila tutakuwa choka mbaya.
Hakuna corona yoyote, wewe ndio corona yenyewe na unatakiwa KUONDOSHWA.

I wish i could be IGP, nyie VIRUS ningewachanja DAWA MAALUMU mnapukutika kiulaini.
 
Mie week ilopita tu niliumwa the same plus homa kali sana, nilipoenda hospital wakaniambia nna infection ya kwenye damu...na kunipa midawa kibao...

nilichofanya nikaenda kununua Azuma zangu dozi 1, tangawizi na asali. nashkuru kwa sasa nipo fresh ingawa kifua bado wakati mwengine nakohoakohoa.

Nionavyo corona haijawahi kuondoka tunaiishi nayo tushaizoea tunaona kama maradhi ya mafua na kifua tu.
Infection kwenye damu? Au ulienda Boch pale mbezi? Maana ukienda hapo lazima wakwambie kuwa una hilo tatizo, maana pale huo ugonjwa ni kama reception yao
 
THE PROPAGANDIST ON THE BEAT

Kwa kweli hata ungekufa ingekuwa vizuri.

You are a VIRUS that needs to be GUNNED DOWN.
hiyo ni kwa uweza na Baraka na Neema za Mwenyezi Mungu.

we huwezi fanya ikatokea iwe kwa ajili yako mwenyewe, kwajili yangu au wengine zaidi sana ni kujichakaza zaidi kinafsi na kiroho kwa chuki.

Kwangu mie si kitu nakupuuza kisha nakuombea mema na roho ya mauti ikuepuke
 
THE PROPAGANDIST HIMSELF 🤣🤣

Mtaacha lini kuhadaa watu nyie MAKASUKU!?

Wewe una MAGONOREA umeyaokota kwenye madanguro, KAPIME.

Usisingizie magonjwa yasiyokuwapo 🤣🤣🙌
mbona izo ni infectious za kawaida zina dawa watu wanapata maambukizi na zinatibika Aise...
Ukiwa na iyo shida kuwa muwazi tu...

ile ya kutisha ni umeme acha kabisa unakufa wew na wewe pekeyako ukijiona tena saii unakufa na afya yako muzuri....

yaani, unaongelea utu tuugonjwa tudogotudoga ambae unaeweza elezea ata marafiki zako kijiweni au kwenye kahawa,

Pata umeme kama utasema,
Unafaa nchezo nini
 
sure,
day one kifua ilinibana kama nimevaa bulletproof ilonibana hadi moyo unauma ofisini niliwork for only 2hrs, nikaenda nyumbani sio hospital tena coz one week before nilienda for checkup na sikua na tatazo lolote.

Kichwa ilipozidi na mafua huku kifua ikapoa nikaanza kukohoa sasa na homa ikalipuka mara baridi mara joto, uzalendo ukanishinda nikajongea hospital, wakanipima wakaniambia hakuna kitu inashida...

wakanipa dawa ya maji ya kifua, ya mafua na ya maumivu,
Uliweza kuwa online muda wote huo wa mafua makali?

Maana Kila siku umo humu, tena active.🙄
 
mbona izo ni infectious za kawaida zina dawa watu wanapata maambukizi na zinatibika Aise...
Ukiwa na iyo shida kuwa muwazi tu...

ile ya kutisha ni umeme acha kabisa unakufa wew na wewe pekeyako ukijiona tena saii unakufa na afya yako muzuri....

yaani, unaongelea utu tuugonjwa tudogotudoga ambae unaeweza elezea ata marafiki zako kijiweni au kwenye kahawa,

Pata umeme kama utasema,
Unafaa nchezo nini
Acha kujishaua.

Kameze MADAWA huko!
 
Wakuu siku za karibuni hali yangu sio nzuri kiviile... Kwanza nilianza kuumwa sana na koo nikawa nikimeza mate napata maumivu makali.

Juzi juzi nikaanza kikohozi kikavu kinachoambatana na maumivu ambacho kinaendelea mpaka sasa. Jana kichwa kimeanza kuniuma na homa japo sio kali sana, na leo naona mafua yameanza.

Sauti nayo ni kama inapotea. Hizi dalili nakumbuka nilizipataga 2020 au 2021 hivi hasa hii ya kuumwa koo.

NB: Kwa sasa natumia tangawizi, malimao na paracetamol na dawa ya kikohozi syrup. Unanishauri nini?
Korona inawapata zaid mnaoshinda kwenye baridi majumbani unategemea hewa ya mzungu iyo covid inskuachaje Tuache kwanza tuko na bei mpya za usafirishaji
 
We jamaa sikuamini, hii kitu ikitangazwa IPO, nahisi utanufaika nayo!!
Muamini Mungu pekee na usiogope...

Kuna watu wanaugua acha kabisaa, mimi si kati ya unaweza sema ati nagonjeka lahashaa...

mimi ni kasiku kamoja nilikwama nayo sana,
Jpili nikapiga maombi nikazama hospital for checkup,

nikapewa dawa tamu ya maji ya kifua na ingine ya mafua nikameza usiku Asubuhi niko sawa ila macho ni kama imevimba, I think ni alegy na kwahiyo siwezi kunywa tena hiyo dawa..

Kwa ufupi ni hayo
 
Muamini Mungu pekee na usiogope...

Kuna watu wanaugua acha kabisaa, mimi si kati ya unaweza sema ati nagonjeka lahashaa...

mimi ni kasiku kamoja nilikwama nayo sana,
Jpili nikapiga maombi nikazama hospital for checkup,

nikapewa dawa tamu ya maji ya kifua na ingine ya mafua nikameza usiku Asubuhi niko sawa ila macho ni kama imevimba, I think ni alegy na kwahiyo siwezi kunywa tena hiyo dawa..

Kwa ufupi ni hayo
Duh!! Aya bana pole.
 
Back
Top Bottom