Oooh
Huyo moja ni wa chuo, nilikua namchelewesha kumpa majibu yake baada ya kuniambia hisia zake .So akawa kamind hivi so I asked him kama tunaweza onana basketball ground kule mabibo hostel, wakati tunaongea , ghafla nikampa kiss un expectedly( it was such a deep, sweet and random kiss) so from there tukawa wapenzi.
Wapili ni boss wangu kazini, we liked each other but hanitongozi, nikamuita sehemu for drinks from work( cha ajabu alienda home akaoga na kuchange clothes ) then akaja , tukapiga drinks then I started the romantic kiss then nikampuzia..But badae tukawa wapenzi
Inshort, i will grant my heart what it wants.