Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Me wizo ake lazima anipende, nina bro hb afu ndo vitu vyake wizo anavyovipenda.Alafu huwa anakupendaga sana[emoji23]
Hiyo kuachana haipo[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila “MTAACHANA”
Wizo anakuambia mtraamu, sio mtamuMe wizo ake lazima anipende, nina bro hb afu ndo vitu vyake wizo anavyovipenda.
Akinizingua na bro hampati [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nenda kuna sehemu nimekutag ukacheke alicho comment uko 🤣🤣Wizo anakuambia mtraamu, sio mtamu
Ngoja nikangalie[emoji23]Nenda kuna sehemu nimekutag ukacheke alicho comment uko [emoji1787][emoji1787]
Uzoefu wa nguvuMuombe mtoke out friendly, Baada ya kunywa wine kidogo( usilewe sana just a bit tipsy) ,give hime a random deep kiss ila usimpe papuchi.
Hakikisha you look good and you smell good and act classy but a little bit sassy.
Baada ya hapo usimpe too much attention, make him want you.
Au muite kwako kama uko tayari kwa chochote yaani liwalo na liwe [emoji23][emoji23]..Make sure wewe na mazingira yako mnavutia,
Ndio maana simbachawane amewaambia watafute hela waache kula kimasihara🤣🤣🤣🤣🤣😅😅😅 Tanzania Ina vijana wa hovyo
Umeshalipiwa mahari au bado ?Muombe mtoke out friendly, Baada ya kunywa wine kidogo( usilewe sana just a bit tipsy) ,give hime a random deep kiss ila usimpe papuchi.
Hakikisha you look good and you smell good and act classy but a little bit sassy.
Baada ya hapo usimpe too much attention, make him want you.
Au muite kwako kama uko tayari kwa chochote yaani liwalo na liwe [emoji23][emoji23]..Make sure wewe na mazingira yako mnavutia,
Haya kaka nimekusikia🤣🤣🤣Achana nao, fanya mengine🤣
🤣🤣🤣Achana nao, fanya mengine🤣
Wanapenda sana masikharaNdio maana simbachawane amewaambia watafute hela waache kula kimasihara🤣🤣🤣🤣🤣
NakaziaUislam mwema sana, unafundisha kuwa unamtumia watu wanaoheshimika alete posa.
Wacheni uzinzi na uasherati, ni uchafu. Oaneni.
🤣🤣🤣🤣Tena analeta thread kwa rikiboy
Wizoo akeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilikumisssCountrywide wizo wa mkeo umemuona [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wizo udraaku muhimu kwa afya
Wizoo akeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilikumisss
Wizo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Me too wizo jamani [emoji8][emoji8][emoji8]
Kantri alikuwa anasumbua tukuite ana zawadi zako. Katusumbua kweli
mshamba_hachekwi mkeo umemuona? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]