Hivi dada ukiwa unampenda mwanaume halafu yeye hakutongozi, huwa mnafanya nini?

Mimi kiukweli na tengeneza mazingira ya kumbaka basi sina choice ila sasa sio umpendee kila mtu utaitwa kicheche kuna baadhi ya watu wanakufanya uwapende wanavutia kisa wanazile nguzo zako ulizowekaga . Ila mie ni mtu mmbaya sana nikiwa na mtu siwezi rudia mechi kabisa mapenzi kwangu siku hizi ni changamoto maana siipi kipaumbele
Noma sana!
 
Dah hii kali sana...
 
Muombe mtoke out friendly, Baada ya kunywa wine kidogo( usilewe sana just a bit tipsy) ,give hime a random deep kiss ila usimpe papuchi.

Hakikisha you look good and you smell good and act classy but a little bit sassy.

Baada ya hapo usimpe too much attention, make him want you.

Au muite kwako kama uko tayari kwa chochote yaani liwalo na liwe [emoji23][emoji23]..Make sure wewe na mazingira yako mnavutia,
Uzi uishie hapa [emoji375]
 
Back
Top Bottom