[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]Mimi kiukweli na tengeneza mazingira ya kumbaka basi sina choice ila sasa sio umpendee kila mtu utaitwa kicheche kuna baadhi ya watu wanakufanya uwapende wanavutia kisa wanazile nguzo zako ulizowekaga . Ila mie ni mtu mmbaya sana nikiwa na mtu siwezi rudia mechi kabisa mapenzi kwangu siku hizi ni changamoto maana siipi kipaumbele
hahahaahChukwu nmba mwambie UNAMPENTA HADI KIKOJOLEO KINAPWINTA PWINTA
[emoji23][emoji23]Me too wizo jamani [emoji8][emoji8][emoji8]
Kantri alikuwa anasumbua tukuite ana zawadi zako. Katusumbua kweli
mshamba_hachekwi mkeo umemuona? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wizo hujanijibu km mambo tyr yametik naona unanikwepa kwepa 😂😂😂[emoji23][emoji23]
Hata kama anakuita bro?Ukiona mwanamke anaangalia ststus zako kila mara na kureply jiongeze bro.
Hahahahahahaha dah huo mstar WA mwishoSijawahi kumizwa na mapenzi ila mie naliaga kama alikuwa tajiri
Asee kweliHadi Sasa Ni bila bila ngoma ngumu hii,
Oooh
Huyo moja ni wa chuo, nilikua namchelewesha kumpa majibu yake baada ya kuniambia hisia zake .So akawa kamind hivi so I asked him kama tunaweza onana basketball ground kule mabibo hostel, wakati tunaongea , ghafla nikampa kiss un expectedly( it was such a deep, sweet and random kiss) so from there tukawa wapenzi.
Wapili ni boss wangu kazini, we liked each other but hanitongozi, nikamuita sehemu for drinks from work( cha ajabu alienda home akaoga na kuchange clothes ) then akaja , tukapiga drinks then I started the romantic kiss then nikampuzia..But badae tukawa wapenzi
Inshort, i will grant my heart what it wants.
Umefanyaje??Hahahahahahaha dah huo mstar WA mwisho
Unafaa kwa ajili ya matumiz ya kimasiharaUmefanyaje??
Mi sitoi ovyo mpelekee dada ako nuksi ambaye hajaolewa na mpe mawazo yako koma kama ulivyo koma uchi wa mkeoUnafaa kwa ajili ya matumiz ya kimasihara
@suzie _barbie naomba nikufahamu[emoji18], nice approach!Muombe mtoke out friendly, Baada ya kunywa wine kidogo( usilewe sana just a bit tipsy) ,give hime a random deep kiss ila usimpe papuchi.
Hakikisha you look good and you smell good and act classy but a little bit sassy.
Baada ya hapo usimpe too much attention, make him want you.
Au muite kwako kama uko tayari kwa chochote yaani liwalo na liwe [emoji23][emoji23]..Make sure wewe na mazingira yako mnavutia,
[emoji23][emoji23][emoji23] nina ujauzito saivi mwenziooo, wenye wivu wanywe vyupa [emoji23][emoji23]Wizo hujanijibu km mambo tyr yametik naona unanikwepa kwepa [emoji23][emoji23][emoji23]
Wizo umenishinda 🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23] nina ujauzito saivi mwenziooo, wenye wivu wanywe vyupa [emoji23][emoji23]
Wizo anazingua [emoji23][emoji23]Wizo umenishinda [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Baby shower tunayo [emoji2222]
Unazingua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nina ujauzito saivi mwenziooo, wenye wivu wanywe vyupa [emoji23][emoji23]
Wizo mjamzito 🤣🤣🤣Wizo anazingua [emoji23][emoji23]
Kapewa utrrraaamu[emoji23][emoji23][emoji23]Wizo mjamzito [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huo utraaamu utakuwa heavy wizo karudi na maringo sijapata kuona 🤣🤣🤣Kapewa utrrraaamu[emoji23][emoji23][emoji23]