Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,726
- 3,391
- Thread starter
- #21
ShukraniWakili wa shetani nimepata taarifa hapa naambiwa kuwa
Kwenye Taurati hakuna katazo la mwisho wa idadi ya kuoa
Ila karne ya 10 kuna Rabbi mmoja wa kuitwa Rabbenu Gershom ndiye alikataza watu kuoa mke zaidi ya mmoja
Na wanafuata katazo hilo