Hivi Dkt. Magufuli usiku hurudi kujisikiliza alichoongea mchana kwa umma kabla hajalala?

Hivi Dkt. Magufuli usiku hurudi kujisikiliza alichoongea mchana kwa umma kabla hajalala?

ryan riz

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
448
Reaction score
729
Kichwa cha habari chajitosheleza, Magufuli hivi hupata wasaa hata wa kusikiliza kile ambacho huongea kwa umma usiku kabla hajalala? Maana wanadamu kiasili huwa tuna nguvu kubwa sana ya ziada pale ambapo tukijipa muda wa kujisikiliza au kupitia matendo yote tuliyoyafanya kabla hatujalala hii hutupa mwangaza mkubwa wa matarajio chanya kesho yake kama tukiamka salama,

JE, HUYU MZEE WETU NAE HUFANYA HIVI? TUJADILI SASA.
 
hana hiyo desturi,angekuwa nayo angejifunza kuwa anaongea mambo mengi yanayoshusha heshima yake na bahati mbaya sana wanaomzunguka wameamua kumwabudu na kumsifu na kumjaza upepo kuwa speech yake ilikuwa nzito na maono mazito kwa taifa.



mzee huyu tumwombee apumzike kwa amani pale CHAtatetiTOtu. uzee wake usiwe wa majuto.
Huwezi amini kama anayeongea ni kiongozi wa nchi
 
Siku zote msemakweli huwa ni mpenzi wa Mungu na mtu mwenye misimamo huwa hayumbishwi.
kabisa na hakika mkuu

NB: laptopa kwa waalimu, ajira, nyongeza ya mishahara, na m50 kwa kila kijiji
 
kichwa cha habari chajitosheleza,Magufuli hivi hupata wasaa hata wa kusikiliza kile ambacho huongea kwa umma usiku kabla hajalala.......?Maana wanadamu kiasili huwa tuna nguvu kubwa sana ya ziada pale ambapo tukijipa muda wa kujisikiliza au kupitia matendo yote tuliyoyafanya kabla hatujalala hii hutupa mwangaza mkubwa wa matarajio chanya kesho yake kama tukiamka salama,JE HUYU MZEE WETU NAE HUFANYA HIVI? TUJADILI SASA.

nb:wahusika mmrekebisha kichwa cha habari kimekuwa na lugha isiyo eleweka hivyo rudisheni kama nilivyoandika awali
Watanzania wanataka uhuru na haki ndani ya nchi yao. Watanzania hawataki kuonewa na kunyanyaswa na kutukanwa ndani ya nchi yao. Ndiyo maana kipindi cha miaka 5 ya Meko amejisifu kuwa kafanya maendeleo sana, lakini why this REJECTION ? Sasa hivi haongelei tena madaraja na madege
 
Timu yake ya ushauri na tathmini itakua imeridhika na mgombea wao anachosema,kwani mleta uzi umebaini nini hasa
Lissu anampa shida
IMG-20201003-WA0022.jpg
 
Back
Top Bottom