Ni vile tu watanzania tumejawa na uoga.
Huyu mkulu miaka 5 inamtosha sana hana sifa na hadhi ya kuwa statesman.
Mimi nimewatundisha wanangu ,wasimsikilize ...nashukuru wameniekewa Sana!Huwezi amini kama anayeongea ni kiongozi wa nchi
Mkuu alishawahi... ni UJINGA wa wadanganyika tu kwani kwenye sanduku la KURA unaenda na mlinzi
... ni UJINGA wa wadanganyika tu kwani kwenye sanduku la KURA unaenda na mlinzi
Kitandani wanafanya nnHebu msikilize hapa!
Kwahiyo kutakakuoa mwanamke kila sehemu anayohutubia ndio usema kweli huo?Siku zote msemakweli huwa ni mpenzi wa Mungu na mtu mwenye misimamo huwa hayumbishwi.
Kikwete alishawahi toa mfano wa jini lililokua kwenye kichupa jinsi aliyelitoa humo kwemye kichupa alivyopata TABU kulirudishia mle kwenye kile kichupa,maana kumshika jini sio mchezo hata walie mtoa kwenye kichupa hawana ham,wanaimba na kuabudu tu, lakini. hawajui baada ya dakika mbili tatu jini litaamua nini au kusema nini na dawa iliyobaki ni kulibembeleza ili lirudi kwenye kichupa kisha kitupwe mbali but ITS TOO LATE .
CCM mpya chini ya Bashiru na Chakubanga mbona imeacha kuongelea mambo ya madege na madaraja? Walidhani mwanzoni kuwa wananchi watakula madaraja? Sasa kama wanajua kusoma alama za nayakati wasome. Huu uchaguzi waki mess up wanakwenda kupigwa vikwazo siyo vya dunia hii.. Yaani sisiHatuna Uoga wa aina yeyote.
Tunamchagua mtu ambae ataleta Maendeleo katika taifa hili.
Tatizo hatuna Mgombea bora zaidi ya J.P.Magufuli.
So,Itabidi tumpigie tu kura za kishindo maana hamna namna.
halafu vijana wa ccm wanakuja na kauli zao kuwa lissu anasupot ushoga wakati mwenyekiti wao anauliza mwanaume mwenzake kama kamuota wakiwa kitandaniHebu msikilize hapa!
Ni mtu asiyejifunza. Ni sikio la kufa.Kichwa cha habari chajitosheleza, Magufuli hivi hupata wasaa hata wa kusikiliza kile ambacho huongea kwa umma usiku kabla hajalala?Maana wanadamu kiasili huwa tuna nguvu kubwa sana ya ziada pale ambapo tukijipa muda wa kujisikiliza au kupitia matendo yote tuliyoyafanya kabla hatujalala hii hutupa mwangaza mkubwa wa matarajio chanya kesho yake kama tukiamka salama,
JE HUYU MZEE WETU NAE HUFANYA HIVI? TUJADILI SASA.
Maana wanadamu kiasili huwa tuna nguvu kubwa sana ya ziada pale ambapo tukijipa muda wa kujisikiliza au kupitia matendo yote tuliyoyafanya kabla hatujalala...[emoji1534][emoji1534][emoji1534][emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1536]Kichwa cha habari chajitosheleza, Magufuli hivi hupata wasaa hata wa kusikiliza kile ambacho huongea kwa umma usiku kabla hajalala?Maana wanadamu kiasili huwa tuna nguvu kubwa sana ya ziada pale ambapo tukijipa muda wa kujisikiliza au kupitia matendo yote tuliyoyafanya kabla hatujalala hii hutupa mwangaza mkubwa wa matarajio chanya kesho yake kama tukiamka salama,
JE HUYU MZEE WETU NAE HUFANYA HIVI? TUJADILI SASA.
Hata ileinayokigharimu chamaSiku zote msemakweli huwa ni mpenzi wa Mungu na mtu mwenye misimamo huwa hayumbishwi.