Barikiwa sn kiongoziMimi nimewatundisha wanangu ,wasimsikilize ...nashukuru wameniekewa Sana!
Yani hapo sioni hoja ya msingi ni ipi hasa?Kichwa cha habari chajitosheleza, Magufuli hivi hupata wasaa hata wa kusikiliza kile ambacho huongea kwa umma usiku kabla hajalala?Maana wanadamu kiasili huwa tuna nguvu kubwa sana ya ziada pale ambapo tukijipa muda wa kujisikiliza au kupitia matendo yote tuliyoyafanya kabla hatujalala hii hutupa mwangaza mkubwa wa matarajio chanya kesho yake kama tukiamka salama,
JE HUYU MZEE WETU NAE HUFANYA HIVI? TUJADILI SASA.
Je wewe una akili kiasi gani? Hadi unapata mamlaka ya kujadili binadamu mwenzako?Magufuli hajawahi kuwa na akili hiyo hata mara moja yeye uwezo wa kujenga hoja ni zero
Kupitia kile ulichofanya kutwa nzima huwa kuna faida kubwa sana maishani mwako,yaan unajipa muda wa kujitafakari na kujisahihisha pale ulipokosea...jipe muda huo hata wewe utaona matokeo yake,usiwe mtu wa kusubiri watu wayaone makosa yako ndio wakurekebishe..,anza kujirekebisha wewe kwa kujitafakari utajijenga imara sana kinafsi na mwili.ASANTEYani hapo sioni hoja ya msingi ni ipi hasa?
Vipi wewe ushawahi kujifuatilia usiku kila unaporudi kwako kabla hujalala
Hana adabu huyu jiweHebu msikilize hapa!
Sawa kumbe unafahamu kwamba huo ni wajibu thabiti kwa kila binadamu, Je kama wewe unafanya hivyo ambaye labda ni kiongozi wa familia yako tu, unadhani Magufuli hafanyi hivyo? Ukizingatia yeye ni kiongozi wa Taifa. Hivyo nachelea kusema hoja hii haina mashiko hata kidogo. Nadhani wakati mwingine kabla hujaweka hoja mezani ipime kwanza vizuri ndo uiweke vilevile uangalie na mtu wa kumtolea mfano pia. Rais ni Taasisi lazima nafasi yake iheshimiwe.Kupitia kile ulichofanya kutwa nzima huwa kuna faida kubwa sana maishani mwako,yaan unajipa muda wa kujitafakari na kujisahihisha pale ulipokosea...jipe muda huo hata wewe utaona matokeo yake,usiwe mtu wa kusubiri watu wayaone makosa yako ndio wakurekebishe..,anza kujirekebisha wewe kwa kujitafakari utajijenga imara sana kinafsi na mwili.ASANTE
Tumefika hapa tulipo kwasababu ya sera za majukwaani ambazo hazina sheria ama kanuni za kuzisimamia 'policy uncertainity'Kichwa cha habari chajitosheleza, Magufuli hivi hupata wasaa hata wa kusikiliza kile ambacho huongea kwa umma usiku kabla hajalala? Maana wanadamu kiasili huwa tuna nguvu kubwa sana ya ziada pale ambapo tukijipa muda wa kujisikiliza au kupitia matendo yote tuliyoyafanya kabla hatujalala hii hutupa mwangaza mkubwa wa matarajio chanya kesho yake kama tukiamka salama,
JE, HUYU MZEE WETU NAE HUFANYA HIVI? TUJADILI SASA.
Hivi huwa huoni kuna makosa mengi ya kujirudiarudia anapoongea na umma? na kama huwa huyaoni naomba nifunge mjadala na wewe..Sawa kumbe unafahamu kwamba huo ni wajibu thabiti kwa kila binadamu, Je kama wewe unafanya hivyo ambaye labda ni kiongozi wa familia yako tu, unadhani Magufuli hafanyi hivyo? Ukizingatia yeye ni kiongozi wa Taifa. Hivyo nachelea kusema hoja hii haina mashiko hata kidogo. Nadhani wakati mwingine kabla hujaweka hoja mezani ipime kwanza vizuri ndo uiweke vilevile uangalie na mtu wa kumtolea mfano pia. Rais ni Taasisi lazima nafasi yake iheshimiwe.
Unazungumzia huyu muuaji?Siku zote msema kweli huwa ni mpenzi wa Mungu na mtu mwenye misimamo huwa hayumbishwi.
Kila mtu ana tafsiri yake juu ya neno linalozungumzwa, sasa tasfiri unayoipata wewe usishawishi na wengine watafsiri katika namna ambavyo una tafsiri wewe.Hivi huwa huoni kuna makosa mengi ya kujirudiarudia anapoongea na umma? na kama huwa huyaoni naomba nifunge mjadala na wewe..