Hivi Dudu baya ndio nani kila jambo kuhusu dunia hii yeye kawa mchambuzi na kuna watu wanamsikiliza kweli

Hivi Dudu baya ndio nani kila jambo kuhusu dunia hii yeye kawa mchambuzi na kuna watu wanamsikiliza kweli

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Kuna wakati kunatakiwa kuzuia hawa wanahabari kujua mahojiano na wanataka kuwahoji.

Yani huyu Dudu baya kila jambo yeye kawa mchambuzi mpaka maisha ambayo hakisikia Lucas Mwashambwa kachanganyikiwa kesho dudu kahojiwa.

Wanaompa Airtime ni kwamba hawana content za kutengeneza.
 
Ni Mchambuzi wa Maswala yote ya kipuuzi kama wewe mpuuzi mwenzake unavyomfuatilia na kumleta Jukwaani...
 
We na dudu baya mmetofautiana vitambi tu
Je wewe si huyu kwa vile unafamilia inakuona baba
IMG_1627.jpeg
 
Ni Mchambuzi wa Maswala yote ya kipuuzi kama wewe mpuuzi mwenzake unavyomfuatilia na kumleta Jukwaani...
Ulitaka hakueleze nani mpaka ukajiita mpuuzi kama wewe
 
Kuna siku nilikiwa namsikiliza mtaalamu mmoja wa Kimarekani kuhusu mambo ya IT Security. Alikuwa ni Security Engineer mwenye uzoefu mkubwa sana na usomi wa hali ya juu kwenye mada hii.

Alikuwa ndiye mtu anayeelewa mambo haya kuliko watu karibu wote walio katika chumba hicho.

Mtu mmoja akamuuliza kuhusu Quantum Computing na security.

Nikategemea kusikia jibu linalogusia upande huo kwa undani.

Mtaalamu akachomoa kujibu, alisema anajiona hajui vizuri mambo ya Quantum Computing kujibu swali.

Nilimshangaa sana, kwa sababu yeye alionekana kuwa the most qualified person kujibu swali.

Lakini nilifikiria sana nikamuelewa, Quantum Computing security ni jambo jipya na linahitaji mtaalamu tofauti kuongelea hilo.

Nikafikiri sana Tanzania watu wanavyoongea bila kujiuliza swali muhimu sana la "How am I qualified to answer this question?".

Hilo ni swali ambalo watu wengi hawajiulizi. Unaweza kukuta Profesa wa mazoezi ya viungo anajibu swali la kuchambua vita vya Iran na Israel kama mtaalamu.

I am like how are you qualified to answer that question?
 
Kuna wakati kunatakiwa kuzuia hawa wanahabari kujua mahojiano na wanataka kuwahoji.

Yani huyu Dudu baya kila jambo yeye kawa mchambuzi mpaka maisha ambayo hakisikia Lucas Mwashambwa kachanganyikiwa kesho dudu kahojiwa.

Wanaompa Airtime ni kwamba hawana content za kutengeneza.
Think tank ya waandishi wa bongo
 
  • Thanks
Reactions: Fbn
Wanampenda Dudubaya kwa sababu ya lafudhi yake. Ukiwa unaongea kwa lafudhi ya kisukuma, unaonekana upo honest kwenye hoja zako.
 
Back
Top Bottom