Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Huwa nashangaa mijitu imejaa midevu unaishi kwenye nyumba walizojenga wanaume wenzao yaani unapataje nguvu ya kuishi sehemu kama hiyo aisee nyie jamaa hivi huwa munafikiri Kwa akili hizi ambazo watu kama Mimi mwenye IQ kubwa nafikiria kuhusu maisha acheni ujinga nunueni viwanja mjenge mnatesa watoto na wake zenu wanagongwa na watoto wa baba mwenye nyumba kisa umasikini wenu kuwawela kwenye nyumba walizojenga wanaume wenzenu
Na kuna dume jingine eti linajenga kwenye skwata chanika kidume inabidi ujenge mbezi beach au mbweniAcheni ujinga
Kwamba angetemea nje?Blow-job ingeepusha huu uzi
Kijambio kinakuwasha nini...?Huwa nashangaa jitu limejaa midevu linaishi kwenye nyumba walizojenga wanaume wenzao yaani unapataje nguvu ya kuishi sehemu kama hiyo aisee nyie jamaa hivi huwa munafikiri Kwa akili hizi ambazo watu kama Mimi mwenye IQ kubwa nafikiria kuhusu maisha acheni ujinga nunueni viwanja mjenge acheni ujinga mnatesa watoto na wake zenu wanagongwa na watoto wa baba mwenye nyumba kisa umasikini wenu kuwaweka kwenye nyumba walizojenga wanaume wenzenu