Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 6,978
- 12,641
Mtoa mada nahisi alishavuliwa ubingwa
Unashangaa mtu kuamka na boksa kwenye hiyo nyumba, kwa taarifa yako na wewe ukija hovyo hovyo kwenye hizo nyumba unaweza ukadinywa vilevile.Huwa nashangaa jitu limejaa midevu linaishi kwenye nyumba walizojenga wanaume wenzao asubuhi linaamka na boxer kabisa na kupiga mswaki yaani unapataje nguvu ya kuishi sehemu kama hiyo aisee nyie jamaa hivi huwa munafikiri Kwa akili hizi ambazo watu kama Mimi mwenye IQ kubwa nafikiria kuhusu maisha acheni ujinga nunueni viwanja mjenge mnatesa watoto na wake zenu wanagongwa na watoto wa baba mwenye nyumba kisa umasikini wenu kuwaweka kwenye nyumba walizojenga wanaume wenzenu
Cha umuhimu hapa duniani ni kupata makazi bora either ya kwako binafsi au ya kulipiaMkuu nimeshafika India na nimetembea miji kibao kuanzia newdelhi hadi maharashtra kule asilimia kubwa ya wakazi wa mijini wanaishi nyumba za kupanga.
Kule India miradi ya nyumba kama hii inayojengwa hapa bongo na NHC mfano samia houses scheme kawe ni miradi ya watu binafsi na ipo kibao.
Yaana na imagine kama hao matajiri wasingekuwepo India walala nje wangekuwa wengi zaidi.
Halafu ukienda Nchi nyingi zilizoendelea mfano Canada karibia 70% ya residents kule hawamiliki nyumba wanaishi either kwenye nyumba za Serikali , za watu au makampuni binafsi.
Kule Canada suala la kumiliki nyumba sio ulazima nyumba zipo wewe tu .
Kuna rafiki yangu mkanada alikuja nitembelea sasa kuna weekend nikaenda kumtembeza kwenye site yangu nilikuwa najenga nyumba alishangaa sana aliniona kama najipa mzigo usiokuwa na ulazima .
Aliniambia kule kanada karibia 80% ya nyumba za kule ni mali ya Serikali au makampuni binafsi
Cha umuhimu hapa duniani ni kupata makazi bora either ya kwako binafsi au ya kulipia
Kaka, kila mtu ana speed yake… usijali, tunajenga maisha yetu kwanza kabla hatujajenga ukuta!Ila mda mwingine ukiwaza, inasikitisha sana Aise... Chumba kimoja unashindwa kujenga kweli?? 😅😅😅😅😅😅.
Ni kweli mkuu, pambaneni sana ili mjenge, maisha ya kupanda ni changamoto sana.. 🤝🤝🤝Kaka, kila mtu ana speed yake… usijali, tunajenga maisha yetu kwanza kabla hatujajenga ukuta!
Amen 🙏Mshukuru mungu kwa kile alichokujaalia
Nasi vinginevyo
Kuna kauwendawazimu flani ka'kifisadi umekapata baada ya kupata mafanikio haramu(jichunguze mwenyewe uhalali wa kipato chako), pia ni mshamba usiye na staha na hujui maisha, sasa kamekulevya umeanza kufuru.Huwa nashangaa jitu limejaa midevu linaishi kwenye nyumba walizojenga wanaume wenzao asubuhi linaamka na boxer kabisa na kupiga mswaki yaani unapataje nguvu ya kuishi sehemu kama hiyo aisee nyie jamaa hivi huwa munafikiri Kwa akili hizi ambazo watu kama Mimi mwenye IQ kubwa nafikiria kuhusu maisha acheni ujinga nunueni viwanja mjenge mnatesa watoto na wake zenu wanagongwa na watoto wa baba mwenye nyumba kisa umasikini wenu kuwaweka kwenye nyumba walizojenga wanaume wenzenu
Kwa niaba ya kina mama, HATUMTAKI.Kufata fata yasiyo kuhusu kaungane na kina mama
Huwa nashangaa jitu limejaa midevu linaishi kwenye nyumba walizojenga wanaume wenzao asubuhi linaamka na boxer kabisa na kupiga mswaki yaani unapataje nguvu ya kuishi sehemu kama hiyo aisee nyie jamaa hivi huwa munafikiri Kwa akili hizi ambazo watu kama Mimi mwenye IQ kubwa nafikiria kuhusu maisha acheni ujinga nunueni viwanja mjenge mnatesa watoto na wake zenu wanagongwa na watoto wa baba mwenye nyumba kisa umasikini wenu kuwaweka kwenye nyumba walizojenga wanaume wenzenu
😂😂Bado kuvishwa dela tu!!
Wanaume halisi hatuongelei vitu vya kimaisha kama wamama wa vikoba!!!
Kwa niaba ya kina mama, HATUMTAKI.
Wa kwenu huyo!
😂😂😂Hamna shemeji anaye weza kuishi na mpuuzi wa hivyo
😁😁🤣Una maana labda ajaribu upinde huko?
Kama unaamini kujenga nyumba ya kuishi ndiyo kufanikiwa bado uko nyuma sana shekheHuwa nashangaa jitu limejaa midevu linaishi kwenye nyumba walizojenga wanaume wenzao asubuhi linaamka na boxer kabisa na kupiga mswaki yaani unapataje nguvu ya kuishi sehemu kama hiyo aisee nyie jamaa hivi huwa munafikiri Kwa akili hizi ambazo watu kama Mimi mwenye IQ kubwa nafikiria kuhusu maisha acheni ujinga nunueni viwanja mjenge mnatesa watoto na wake zenu wanagongwa na watoto wa baba mwenye nyumba kisa umasikini wenu kuwaweka kwenye nyumba walizojenga wanaume wenzenu
Mwanamkee....mwanamkeee wowowooNitajifunga taulo venye nataka na hakuna kitu venye utanifanya.
Nitanawa na kupiga mswaki kwenye korido, nimelipa kodi tusifokeane.
Lipeni kodi, acheni masimango.
Pumbavu kabisa.
Cc: Mbaga Jr dronedrake Extrovert Bolotoba