Hivi dume Zima unakaaje kwenye nyumba ya kupanga hata chumba kimoja kimekushinda

Maskini anakimbilia kujenga nyumba ugesema watu tununue maeneo sehemu nzuri Kata viwanja pimisha uza kujenga ni mawazo ya watu waoga wa mapambano ila ni vizuri kua na nyumba ya biashara ambayo unaweza kulitumia kama coratelo Mimi nimejenga lakini napanga
 
Hujajenga wewe danganya wajinga wenzio
 
Mm nina nyumba na bado napanga na wa tu kama sie ndo tuko wengi mjini kama kina diamond so ww n maskini kama umejenga chanika na bado unaishi huko pumbavu zako
 
Huwa nashangaa jitu limejaa midevu linaishi kwenye nyumba walizojenga wanaume wenzao asubuhi linaamka na boxer kabisa na kupiga mswaki yaani unapataje nguvu ya kuishi sehemu kama hiyo aisee nyie jamaa hivi huwa munafikiri Kwa akili hizi ambazo watu kama Mimi mwenye IQ kubwa nafikiria kuhusu maisha acheni ujinga nunueni viwanja mjenge mnatesa watoto na wake zenu wanagongwa na watoto wa baba mwenye nyumba kisa umasikini wenu kuwaweka kwenye nyumba walizojenga wanaume wenzenu
Unafanya kazi gani? na hizo nyumba unazozungumzia ni zipi na za wapi?
 
Wewe ni mwanaume au mwanamke?. Kama ni mwanaume jitafakari sana.
Huwa nashangaa jitu limejaa midevu linaishi kwenye nyumba walizojenga wanaume wenzao asubuhi linaamka na boxer kabisa na kupiga mswaki yaani unapataje nguvu ya kuishi sehemu kama hiyo aisee nyie jamaa hivi huwa munafikiri Kwa akili hizi ambazo watu kama Mimi mwenye IQ kubwa nafikiria kuhusu maisha acheni ujinga nunueni viwanja mjenge mnatesa watoto na wake zenu wanagongwa na watoto wa baba mwenye nyumba kisa umasikini wenu kuwaweka kwenye nyumba walizojenga wanaume wenzenu
 
Mm nina nyumba na bado napanga na wa tu kama sie ndo tuko wengi mjini kama kina diamond so ww n maskini kama umejenga chanika na bado unaishi huko pumbavu zako
Labda kiota ila sio nyumba danganya wajinga wenzio
 
Huwa nashangaa jitu limejaa midevu linaishi kwenye nyumba walizojenga wanaume wenzao asubuhi linaamka na boxer kabisa na kupiga mswaki yaani unapataje nguvu ya kuishi sehemu kama hiyo aisee nyie jamaa hivi huwa munafikiri Kwa akili hizi ambazo watu kama Mimi mwenye IQ kubwa nafikiria kuhusu maisha acheni ujinga nunueni viwanja mjenge mnatesa watoto na wake zenu wanagongwa na watoto wa baba mwenye nyumba kisa umasikini wenu kuwaweka kwenye nyumba walizojenga wanaume wenzenu
Ila mda mwingine ukiwaza, inasikitisha sana Aise... Chumba kimoja unashindwa kujenga kweli?? 😅😅😅😅😅😅.
 
Huwa nashangaa jitu limejaa midevu linaishi kwenye nyumba walizojenga wanaume wenzao asubuhi linaamka na boxer kabisa na kupiga mswaki yaani unapataje nguvu ya kuishi sehemu kama hiyo aisee nyie jamaa hivi huwa munafikiri Kwa akili hizi ambazo watu kama Mimi mwenye IQ kubwa nafikiria kuhusu maisha acheni ujinga nunueni viwanja mjenge mnatesa watoto na wake zenu wanagongwa na watoto wa baba mwenye nyumba kisa umasikini wenu kuwaweka kwenye nyumba walizojenga wanaume wenzenu
Wengine tumeamua kupangisha za kwetu na kupanga za wengine kutokana na majukumu ya kikazi huwezi kujenga kila mkoa unapohamia kikazi
 
Huwa nashangaa jitu limejaa midevu linaishi kwenye nyumba walizojenga wanaume wenzao asubuhi linaamka na boxer kabisa na kupiga mswaki yaani unapataje nguvu ya kuishi sehemu kama hiyo aisee nyie jamaa hivi huwa munafikiri Kwa akili hizi ambazo watu kama Mimi mwenye IQ kubwa nafikiria kuhusu maisha acheni ujinga nunueni viwanja mjenge mnatesa watoto na wake zenu wanagongwa na watoto wa baba mwenye nyumba kisa umasikini wenu kuwaweka kwenye nyumba walizojenga wanaume wenzenu
HII POINT KWA KWELI
 
Ukijenga wewe inatosha, Kuna watu tumepanga na tunakuzidi kila kitu mbwa wewe
 
Usituharibie biashara ndugu.
Mimi Dodoma nina mpangaji ana nyumba yake nzuri tu dsm.
Sio kila anayeishi nyumba ya kupanga hana nyumba besides analipa kodi hakai bure ni kama vile mtu anayeishi hotelini
 
Huwa nashangaa jitu limejaa midevu linaishi kwenye nyumba walizojenga wanaume wenzao asubuhi linaamka na boxer kabisa na kupiga mswaki yaani unapataje nguvu ya kuishi sehemu kama hiyo aisee nyie jamaa hivi huwa munafikiri Kwa akili hizi ambazo watu kama Mimi mwenye IQ kubwa nafikiria kuhusu maisha acheni ujinga nunueni viwanja mjenge mnatesa watoto na wake zenu wanagongwa na watoto wa baba mwenye nyumba kisa umasikini wenu kuwaweka kwenye nyumba walizojenga wanaume wenzenu
Aisee....haya ndugu
 
Ungekua Umeshawahi kufika india usingeandika huu ugoro
Mkuu nimeshafika India na nimetembea miji kibao kuanzia newdelhi hadi maharashtra kule asilimia kubwa ya wakazi wa mijini wanaishi nyumba za kupanga.
Kule India miradi ya nyumba kama hii inayojengwa hapa bongo na NHC mfano samia houses scheme kawe ni miradi ya watu binafsi na ipo kibao.
Yaana na imagine kama hao matajiri wasingekuwepo India walala nje wangekuwa wengi zaidi.
Halafu ukienda Nchi nyingi zilizoendelea mfano Canada karibia 70% ya residents kule hawamiliki nyumba wanaishi either kwenye nyumba za Serikali , za watu au makampuni binafsi.
Kule Canada suala la kumiliki nyumba sio ulazima nyumba zipo wewe tu .
Kuna rafiki yangu mkanada alikuja nitembelea sasa kuna weekend nikaenda kumtembeza kwenye site yangu nilikuwa najenga nyumba alishangaa sana aliniona kama najipa mzigo usiokuwa na ulazima .
Aliniambia kule kanada karibia 80% ya nyumba za kule ni mali ya Serikali au makampuni binafsi
Cha umuhimu hapa duniani ni kupata makazi bora either ya kwako binafsi au ya kulipia
 
Back
Top Bottom