ChiefGodlove fake wa JF kila mara unabadili ID mpaka unasahau na kurudia tena mada ambazo ulishazianzisha kwa ID nyingine,
Hii mada uliianzisha mwezi May kwa ID ya ChiefGodlove,
Nilisha kushauri kua jaribu kubadili fikra zako na sio kubadili ID,unapigwa madongo JF unqbadili ID kisha unarudi na akili zile zile!
Huu uzi wa Mwezi may
Hivi inakuaje baba Zima miaka 30 unahangaika kwenye nyumba za upangaji huwa nawashangaa majitu kama haya aisee Tanzania ilivyokua na ardhi kubwa hivi watu tunajimegea tu aisee nyie wazee acheni ujinga jengeni muishi na familia zenu sio mnakaa mnanig'inia kwenye nyumba za kupanga nyie Sasa ni...
www.jamiiforums.com