Hivi dume Zima unakaaje kwenye nyumba ya kupanga hata chumba kimoja kimekushinda

Hivi dume Zima unakaaje kwenye nyumba ya kupanga hata chumba kimoja kimekushinda

ChiefGodlove fake wa JF kila mara unabadili ID mpaka unasahau na kurudia tena mada ambazo ulishazianzisha kwa ID nyingine,

Hii mada uliianzisha mwezi May kwa ID ya ChiefGodlove,

Nilisha kushauri kua jaribu kubadili fikra zako na sio kubadili ID,unapigwa madongo JF unqbadili ID kisha unarudi na akili zile zile!

Huu uzi wa Mwezi may

Acha kukaa kwenye nyumba tulizojenga vidume
 
Kujenga sio utajiri wala sio kuwa na akili na kutojenga sio uzembe wala umaskini

Ni maamuzi ya mtu


Wahindi wana hela kuliko wewe kapuku na wanakaa nyumba za Shirika.
 
Kujenga sio utajiri wala sio kuwa na akili na kutojenga sio uzembe wala umaskini

Ni maamuzi ya mtu


Wahindi wana hela kuliko wewe kapuku na wanakaa nyumba za Shirika.
Ungekua Umeshawahi kufika india usingeandika huu ugoro Jenga acha ujinga kukàa kwenye nyumba walizojenga wanaume wenzio
 
Dogo jana uli kuja na uzi wa kuponda mishahara ya watu, leo makazi yao

vipi una taka uolewe?
Mkuu,hako katoto kasiwahangaishe,kanajifurahisha tu hapa,kila siku kanabadili ID na anazo zingine 3
Uzuri anajua kua Mimi nazijua ID zake zote coz nilisha ziweka hapa,kajamaa ni choka mbaya pangu pakavu,kanajifariji tu kwa nyuzi za aina hii.
 
Hivi lile box lililokuwa linazunguka katika kila uso wa uzi likihamasisha watu kubet lilienda wapi?

Tunauomba uongozi wa JF utuwekee box lenye picha ya mama likihamasisha uchaguzi mkuu
 
Mkuu,hako katoto kasiwahangaishe,kanajifurahisha tu hapa,kila siku kanabadili ID na anazo zingine 3
Uzuri anajua kua Mimi nazijua ID zake zote coz nilisha ziweka hapa,kajamaa ni choka mbaya pangu pakavu,kanajifariji tu kwa nyuzi za aina hii.
Una kuta hata hilo bando analo tumia ni mkopo kudadadeki
 
Mkuu,hako katoto kasiwahangaishe,kanajifurahisha tu hapa,kila siku kanabadili ID na anazo zingine 3
Uzuri anajua kua Mimi nazijua ID zake zote coz nilisha ziweka hapa,kajamaa ni choka mbaya pangu pakavu,kanajifariji tu kwa nyuzi za aina hii.
Imekuuma sio ingekua haijakuuma usingejiangaisha kujibu huu Uzi unakaa kwenye nyumba za wanaume wenzio halafu utaki kuambiwa ukweli we fukara
 
Huwa nashangaa jitu limejaa midevu linaishi kwenye nyumba walizojenga wanaume wenzao asubuhi linaamka na boxer kabisa na kupiga mswaki yaani unapataje nguvu ya kuishi sehemu kama hiyo aisee nyie jamaa hivi huwa munafikiri Kwa akili hizi ambazo watu kama Mimi mwenye IQ kubwa nafikiria kuhusu maisha acheni ujinga nunueni viwanja mjenge acheni ujinga mnatesa watoto na wake zenu wanagongwa na watoto wa baba mwenye nyumba kisa umasikini wenu kuwaweka kwenye nyumba walizojenga wanaume wenzenu
Na kwanini nijenge ikiwa nawezakodi nyumba na nyumba kali za kupanga zipo tena Mbweni kando ya bahari ya Hindi?
 
Wewe akina Subash Patel ni mabilionea ukienda kule kwenye nyumba za NHC unawakuta. Sioni nguvu ya hoja yako, japo sisemi haina maana kuwa na nyumba.
 
Imekuuma sio ingekua haijakuuma usingejiangaisha kujibu huu Uzi unakaa kwenye nyumba za wanaume wenzio halafu utaki kuambiwa ukweli we fukara
Wewe nilisha kuchana live na unalijua hilo,
Huu muda wa kujifariji na viuzi vya aina hii,ungetafuta maisha ukahama hapo kwa Dada yako,umri haumsubiri mtu.
 
Back
Top Bottom