Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
- Thread starter
-
- #21
Acha kukaa kwenye nyumba tulizojenga vidumeChiefGodlove fake wa JF kila mara unabadili ID mpaka unasahau na kurudia tena mada ambazo ulishazianzisha kwa ID nyingine,
Hii mada uliianzisha mwezi May kwa ID ya ChiefGodlove,
Nilisha kushauri kua jaribu kubadili fikra zako na sio kubadili ID,unapigwa madongo JF unqbadili ID kisha unarudi na akili zile zile!
Huu uzi wa Mwezi may
Hivi inakuaje Baba miaka 30 unahangaika kwenye nyumba za upangaji?
Hivi inakuaje baba Zima miaka 30 unahangaika kwenye nyumba za upangaji huwa nawashangaa majitu kama haya aisee Tanzania ilivyokua na ardhi kubwa hivi watu tunajimegea tu aisee nyie wazee acheni ujinga jengeni muishi na familia zenu sio mnakaa mnanig'inia kwenye nyumba za kupanga nyie Sasa ni...www.jamiiforums.com
Ungekua Umeshawahi kufika india usingeandika huu ugoro Jenga acha ujinga kukàa kwenye nyumba walizojenga wanaume wenzioKujenga sio utajiri wala sio kuwa na akili na kutojenga sio uzembe wala umaskini
Ni maamuzi ya mtu
Wahindi wana hela kuliko wewe kapuku na wanakaa nyumba za Shirika.
Mkuu,hako katoto kasiwahangaishe,kanajifurahisha tu hapa,kila siku kanabadili ID na anazo zingine 3Dogo jana uli kuja na uzi wa kuponda mishahara ya watu, leo makazi yao
vipi una taka uolewe?
Mbona hutaki kupita mpaka leoDuniani tunapita ya nini nijenge njiani
Una kuta hata hilo bando analo tumia ni mkopo kudadadekiMkuu,hako katoto kasiwahangaishe,kanajifurahisha tu hapa,kila siku kanabadili ID na anazo zingine 3
Uzuri anajua kua Mimi nazijua ID zake zote coz nilisha ziweka hapa,kajamaa ni choka mbaya pangu pakavu,kanajifariji tu kwa nyuzi za aina hii.
Imekuuma sio ingekua haijakuuma usingejiangaisha kujibu huu Uzi unakaa kwenye nyumba za wanaume wenzio halafu utaki kuambiwa ukweli we fukaraMkuu,hako katoto kasiwahangaishe,kanajifurahisha tu hapa,kila siku kanabadili ID na anazo zingine 3
Uzuri anajua kua Mimi nazijua ID zake zote coz nilisha ziweka hapa,kajamaa ni choka mbaya pangu pakavu,kanajifariji tu kwa nyuzi za aina hii.
Hamna shemeji anaye weza kuishi na mpuuzi wa hivyoUsikute unaishi kwa shemeji yako aliyemuoa dada yako.........
Na kwanini nijenge ikiwa nawezakodi nyumba na nyumba kali za kupanga zipo tena Mbweni kando ya bahari ya Hindi?Huwa nashangaa jitu limejaa midevu linaishi kwenye nyumba walizojenga wanaume wenzao asubuhi linaamka na boxer kabisa na kupiga mswaki yaani unapataje nguvu ya kuishi sehemu kama hiyo aisee nyie jamaa hivi huwa munafikiri Kwa akili hizi ambazo watu kama Mimi mwenye IQ kubwa nafikiria kuhusu maisha acheni ujinga nunueni viwanja mjenge acheni ujinga mnatesa watoto na wake zenu wanagongwa na watoto wa baba mwenye nyumba kisa umasikini wenu kuwaweka kwenye nyumba walizojenga wanaume wenzenu
Jenga Yako sio kukaa kwenye nyumba walizojenga wanaume wenzioNa kwanini nijenge ikiwa nawezakodi nyumba na nyumba kali za kupanga zipo tena Mbweni kando ya bahari ya Hindi?
Wewe nilisha kuchana live na unalijua hilo,Imekuuma sio ingekua haijakuuma usingejiangaisha kujibu huu Uzi unakaa kwenye nyumba za wanaume wenzio halafu utaki kuambiwa ukweli we fukara
Ungekua Umeshawahi kufika india usingeandika huu ugoroWewe akina Subash Patel ni mabilionea ukienda kule kwenye nyumba za NHC unawakuta. Sioni nguvu ya hoja yako, japo sisemi haina maana kuwa na nyumba.