Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
- Thread starter
-
- #41
Jenga acha kujibinua kwenye nyumba walizojenga wanaume wenzioWewe nilisha kuchana live na unalijua hilo,
Huu muda wa kujifariji na viuzi vya aina hii,ungetafuta maisha ukahama hapo kwa Dada yako,umri haumsubiri mtu.
Kwanza wew unaonekana ni mjinga kwa hoja ulizoleta hapa na hiyo IQ yako ulipamaje ukajua ni kubwa .Huwa nashangaa jitu limejaa midevu linaishi kwenye nyumba walizojenga wanaume wenzao asubuhi linaamka na boxer kabisa na kupiga mswaki yaani unapataje nguvu ya kuishi sehemu kama hiyo aisee nyie jamaa hivi huwa munafikiri Kwa akili hizi ambazo watu kama Mimi mwenye IQ kubwa nafikiria kuhusu maisha acheni ujinga nunueni viwanja mjenge acheni ujinga mnatesa watoto na wake zenu wanagongwa na watoto wa baba mwenye nyumba kisa umasikini wenu kuwaweka kwenye nyumba walizojenga wanaume wenzenu
Unadhani ana nini huyu?choka mbaya tu mmoja anapunguza stress za maisha zilizomjaa,mwanaume anayemiliki chochote anajua asingeweza kukimiliki kama asingepitia hatua fulani za maisha kama kupanga kuajiriwa etc.Mshukuru mungu kwa kile alichokujaalia
Nasi vinginevyo
HahahaDogo jana uli kuja na uzi wa kuponda mishahara ya watu, leo makazi yao
vipi una taka uolewe?
Hongera kwa kujenga. LakiniHuwa nashangaa jitu limejaa midevu linaishi kwenye nyumba walizojenga wanaume wenzao asubuhi linaamka na boxer kabisa na kupiga mswaki yaani unapataje nguvu ya kuishi sehemu kama hiyo aisee nyie jamaa hivi huwa munafikiri Kwa akili hizi ambazo watu kama Mimi mwenye IQ kubwa nafikiria kuhusu maisha acheni ujinga nunueni viwanja mjenge mnatesa watoto na wake zenu wanagongwa na watoto wa baba mwenye nyumba kisa umasikini wenu kuwaweka kwenye nyumba walizojenga wanaume wenzenu
Nikumsamehe uwezo wake wa kufikiri umeishia hapoUnadhani ana nini huyu?choka mbaya tu mmoja anapunguza stress za maisha zilizomjaa,mwanaume anayemiliki chochote anajua asingeweza kukimiliki kama asingepitia hatua fulani za maisha kama kupanga kuajiriwa etc.
Kujenga hakutegemei IQ kubwa kunategemea mafanikio ya mtu,wapo wenye IQ kubwa wana maisha magumu wapo wenye low IQ wanakula nchi huyu mtoto hajielewi.
Hongera Mkuu Kwa kua na kwakoHuwa nashangaa jitu limejaa midevu linaishi kwenye nyumba walizojenga wanaume wenzao asubuhi linaamka na boxer kabisa na kupiga mswaki yaani unapataje nguvu ya kuishi sehemu kama hiyo aisee nyie jamaa hivi huwa munafikiri Kwa akili hizi ambazo watu kama Mimi mwenye IQ kubwa nafikiria kuhusu maisha acheni ujinga nunueni viwanja mjenge mnatesa watoto na wake zenu wanagongwa na watoto wa baba mwenye nyumba kisa umasikini wenu kuwaweka kwenye nyumba walizojenga wanaume wenzenu
Usihamishe goli, kwanini unaanza kukimbilia India. Tuongelee ya Tanzania, India imekujaje chiefUngekua Umeshawahi kufika india usingeandika huu ugoro
Huyu kijana ni 'attention seeker 'ChiefGodlove fake wa JF kila mara unabadili ID mpaka unasahau na kurudia tena mada ambazo ulishazianzisha kwa ID nyingine,
Hii mada uliianzisha mwezi May kwa ID ya ChiefGodlove,
Nilisha kushauri kua jaribu kubadili fikra zako na sio kubadili ID,unapigwa madongo JF unqbadili ID kisha unarudi na akili zile zile!
Huu uzi wa Mwezi may
Hivi inakuaje Baba miaka 30 unahangaika kwenye nyumba za upangaji?
Hivi inakuaje baba Zima miaka 30 unahangaika kwenye nyumba za upangaji huwa nawashangaa majitu kama haya aisee Tanzania ilivyokua na ardhi kubwa hivi watu tunajimegea tu aisee nyie wazee acheni ujinga jengeni muishi na familia zenu sio mnakaa mnanig'inia kwenye nyumba za kupanga nyie Sasa ni...www.jamiiforums.com