Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Okay, asante mkuu.Labda kwenye nchi zao, ila currently hakuna muhindi anaye miliko timu iliyo kwenye top five leagues
Mo anamiliki timu ya kriketi pale MSIMBAZISi kwa ubaya, ila sisi wahindi especially wa jamii ya ponjoro, tunajulikana zaidi kwa kuchezesha kamari, kutumikiaha watu kwa ujira kidogo na kulalamika tunapata hasara.
Hiyo ni jadi yetu na hakuna wa kutubadilisha.
#SijamtajaMtu.
Mimi ntaiuza kabisa, jichanganyeni tu.Tukupe Simba sc uimiliki mkuu