Hivi gari kama hii inatakiwa mafuta ya Tsh ngapi uweze kula nayo misele mjini hasa kipindi hiki cha holiday

Inategemea utakavyojiingiza pamoja na muda, hiyo nikianza naipiga starter kwa 100k kuanzia saa saba usiku, naondoka nayo saa kumi naendesha mpaka kesho yake jioni saa 11 kwa mafuta ya 50k tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…