Hivi haiwezakani sisi na Serikali kila mtu akawa na maisha yake tusiingiliane?

Sambinyakwe kitololo

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2022
Posts
2,429
Reaction score
2,974
Tunapoelekea ni kubaya sana naona madeni yanazidi kila kukicha, niliwaza tu ifikie hatua Serikali iwe private na sisi tuishi maisha yetu ,barabara zilizoko zinatosha shuleni za serikali igeuze ziwe private tutalipa ada kama kawaida. Masuala ya michango yafe maana shule private huwa hatukuwa tunapitishana harembee za michango

Sio mtu mmoja anakwapua milioni Hadi 40 kwa mwezi ikiwa Kuna mlipa Kodi hawezi tunza hata elf 5 kwa siku.
Me naona tuishie tu hapa Serikali waishi maisha yao tu

Watu wanaishi Kama wako peponi lc300 liko hapa hata halizimwi linadondosha tu maji kwa chini pale mbele halafu Bado wanakopa daaa
 
Tunapoelekea Ni kubaya Sana naona madeni yanazidi kila kukicha, niliwaza tu ifikie hatua serikali iwe private na sisi tuishi maisha yetu ,barabara zilizoko zinatosha shuleni za serikali igeuze ziwe private tutalipa ada Kama kawaida maswala ya michango yafe maana shule private huwa hatukuwa tunapitishana harembee za michango ..sio mtu mmoja anakwapua milion Hadi 40 kwa mwezi ikiwa Kuna mlipa Kodi hawezi tunza hata elf 5 kwa siku ..
Me naona tuishie tu hapa serikali waishi maisha yao tu

Watu wanaishi Kama wako peponi lc300 liko hapa hata halizimwi linadondosha tu maji kwa chini pale mbele afu Bado wanakopa daaa

Inawezekana ukiamua ila serikali nayo itakuahtaki
 
Nadhani wakati wa ujima watu waliishi kwa staili hii. Sina hakika zaidi lakini nadhani kilichokuja kuwabadilisha na kuamua kuunda Serilaki, ni ubabe wa baadhi ya watu kwenye jamii, kwamba mimi naweza kuja nyumbani kwako nikawakataza mji mzima kula mlo wa jioni na wakati wa kuondoka nikaondoka na mke wako vile vile. Sasa ili kupambana na halli kama hii, watu waliamua kuunda umoja ambao baadaye ulikuja kupekea kuwepo kwa Serikali
 
Tunapoelekea Ni kubaya Sana naona madeni yanazidi kila kukicha, niliwaza tu ifikie hatua serikali iwe private na sisi tuishi maisha yetu ,barabara zilizoko zinatosha shuleni za serikali igeuze ziwe private tutalipa ada Kama kawaida maswala ya michango yafe maana shule private huwa hatukuwa tunapitishana harembee za michango ..sio mtu mmoja anakwapua milion Hadi 40 kwa mwezi ikiwa Kuna mlipa Kodi hawezi tunza hata elf 5 kwa siku ..
Me naona tuishie tu hapa serikali waishi maisha yao tu

Watu wanaishi Kama wako peponi lc300 liko hapa hata halizimwi linadondosha tu maji kwa chini pale mbele afu Bado wanakopa daaa
Unajua serikali inategemea wananchi kwa kila kitu. Kutengana nayo, ni kuiua, kwamba kusiwe na rais mpaka wa chini kabisa. Kwamba kama vile mkulima anavyoweza kujipatia kipato kwa kutoka jasho, na rais naye atafute shughuli ya kumuwezesha aendeshe maisha yake.
Tukihitaji shule au hospitali na vifaa vyake, tunajichanga, kumlipa mkunga na tabibu, halikadhalika na waalimu, walinzi, wanasheria n.k.
Jeshi pia liwe binafsi!
Inaweza kuondoa ukiritimba na kuondoa ubadhirifu wa kuwalipa watu pesa lukuki kama tunavyoona sasa kwa kazi gani basi inayofanywa zaidi ya wizi tu?
Ila changamoto ni usimamizi na utaratibu utakaoeleweka.
Ila ni wazo zuri sana, pengine kitu kama Katiba nzuri inayojisimamia, itakayoheshimiwa na wote, inaweza kutengeneza kitu kama hicho ulichofikiri!
 
Tunapoelekea Ni kubaya Sana naona madeni yanazidi kila kukicha, niliwaza tu ifikie hatua serikali iwe private na sisi tuishi maisha yetu ,barabara zilizoko zinatosha shuleni za serikali igeuze ziwe private tutalipa ada Kama kawaida maswala ya michango yafe maana shule private huwa hatukuwa tunapitishana harembee za michango ..sio mtu mmoja anakwapua milion Hadi 40 kwa mwezi ikiwa Kuna mlipa Kodi hawezi tunza hata elf 5 kwa siku ..
Me naona tuishie tu hapa serikali waishi maisha yao tu

Watu wanaishi Kama wako peponi lc300 liko hapa hata halizimwi linadondosha tu maji kwa chini pale mbele afu Bado wanakopa daaa
Naongezea
Kila mtanzania apimiwe ekari zake kadhaa asiingiliwe kwenye himaya yake, hakuna kudaiana kodi wala michango
 
Back
Top Bottom