ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Watu wanapiga hela tu sasa hivi na sio watumishi bali watendaji wakubwa kuanzia ngazi za ma director wabunge mawaziri n.k
Walamba asali imekula kwao, hizo lc300 watafugia kukuNaongezea
Kila mtanzania apimiwe ekari zake kadhaa asiingiliwe kwenye himaya yake, hakuna kudaiana kodi wala michango
Umejibu vizuri sana, ila nikwambie kitu mkuu? Watanzania wanalalamika sana mitaani, vijiweni, kwenye familia zao na zaidi sana mitandaoni but when it comes to take ACTION wananywea kama mkate wa boflo kwenye kikombe cha chai. So si kama hawajui nini chakufanya bali they don't have guts na kwa hili wacha tusikie maendeleo makubwa kwa wenzetu hakuna namna.Ku take action tu
Wakafie mbali huko, hakuna haki siku hizi kwenye hizo mamlakaJeshi
Polisi
Haki(Mahakama)
Itakuwaje?
Ni kugoma tu....hatutaki kwenda kwenye mikutano yao, hatutaki kusikiliza uongo wao ,hakuna kulipa kodi kama ni mfanya biashara wakilazimisha bora kufunga kwenda kulima maporini...Swali kwa mtoa mada sasa; Tufanye nini ili tujitenge na serikali huku ukijua kuwa bila sisi hakuna serikali?
Umeona mbali sana muzee, maana ni balaa hatari.Tunapoelekea ni kubaya sana naona madeni yanazidi kila kukicha, niliwaza tu ifikie hatua Serikali iwe private na sisi tuishi maisha yetu ,barabara zilizoko zinatosha shuleni za serikali igeuze ziwe private tutalipa ada kama kawaida. Masuala ya michango yafe maana shule private huwa hatukuwa tunapitishana harembee za michango
Sio mtu mmoja anakwapua milioni Hadi 40 kwa mwezi ikiwa Kuna mlipa Kodi hawezi tunza hata elf 5 kwa siku.
Me naona tuishie tu hapa Serikali waishi maisha yao tu
Watu wanaishi Kama wako peponi lc300 liko hapa hata halizimwi linadondosha tu maji kwa chini pale mbele halafu Bado wanakopa daaa
Hilo dude aisee.linafukia mashimo.tukiwah kubahatisha pale cbe usafir wa kudandia.saa 09 asubh saa 02 mchana dar hii hapa lc300 chuma ya mjapanTunapoelekea ni kubaya sana naona madeni yanazidi kila kukicha, niliwaza tu ifikie hatua Serikali iwe private na sisi tuishi maisha yetu ,barabara zilizoko zinatosha shuleni za serikali igeuze ziwe private tutalipa ada kama kawaida. Masuala ya michango yafe maana shule private huwa hatukuwa tunapitishana harembee za michango
Sio mtu mmoja anakwapua milioni Hadi 40 kwa mwezi ikiwa Kuna mlipa Kodi hawezi tunza hata elf 5 kwa siku.
Me naona tuishie tu hapa Serikali waishi maisha yao tu
Watu wanaishi Kama wako peponi lc300 liko hapa hata halizimwi linadondosha tu maji kwa chini pale mbele halafu Bado wanakopa daaa
Ndiomana wanahakikisha idadi ya masikini inaendelea kuwa kubwa ili unapofika wakati wa uchaguzi hao masikini hawatakataa so called HONGO "chakula, vitenge, jezi za chama RUSHWA "bahasha" kwa viongozi wa matawi, wajumbe na wananchi wenye ushawishi kwenye maeneo yao.Ni kugoma tu....hatutaki kwenda kwenye mikutano yao, hatutaki kusikiliza uongo wao ,hakuna kulipa kodi kama ni mfanya biashara wakilazimisha bora kufunga kwenda kulima maporini...
Swali..
Je wtz wote wataweza?...waganga njaa chura wa kijani wataweza??
Dah ila hizi serikali hizi...yani yenyewe ilipindua serikalo iliyokuwepo ya mkoloni kwa harakati, lakini yenyewe haitaki kupinduliwa kwahyo imeweka sheria atakayetaka kuipindua anyongweWazo lako Ni zuri, lakini ukichimba sana KATIBA hiki ulichoandika hapa kinadondokea kwenye kitu kinaitwa UHAINI.
Sasa basi kuwatetea masikini ni ngumu mno...labda waanze wenyewe kuandamana ili wauwawe na askari kwanza ndipo morari iongezeke bila hivyo tutumie msemo wa wa Ghana..Ndiomana wanahakikisha idadi ya masikini inaendelea kuwa kubwa ili unapofika wakati wa uchaguzi hao masikini hawatakataa so called HONGO "chakula, vitenge, jezi za chama RUSHWA "bahasha" kwa viongozi wa matawi, wajumbe na wananchi wenye ushawishi kwenye maeneo yao.
Wataendelea kudumisha mitaala mibovu ya kielimu ili kuendelea kulitanua hili tabaka la wamaskini.
Hawajawahi kuunganishwa kuwa kitu kimoja na kudhamiria ku take action, umoja ni nguvu sio wingi.Umejibu vizuri sana, ila nikwambie kitu mkuu? Watanzania wanalalamika sana mitaani, vijiweni, kwenye familia zao na zaidi sana mitandaoni but when it comes to take ACTION wananywea kama mkate wa boflo kwenye kikombe cha chai. So si kama hawajui nini chakufanya bali they don't have guts na kwa hili wacha tusikie maendeleo makubwa kwa wenzetu hakuna namna.
ha ha ha haaaaa... Mkuu hata kama ni wewe, unaweza kukata tawi ulilokalia kweli?Dah ila hizi serikali hizi...yani yenyewe ilipindua serikalo iliyokuwepo ya mkoloni kwa harakati, lakini yenyewe haitaki kupinduliwa kwahyo imeweka sheria atakayetaka kuipindua anyongwe
Kuna nchi hizi mambo hakuna huwezi ona mtaani🤣Jeshi
Polisi
Haki(Mahakama)
Itakuwaje?
Ipo siku isiyo na jina hutaamini.Umejibu vizuri sana, ila nikwambie kitu mkuu? Watanzania wanalalamika sana mitaani, vijiweni, kwenye familia zao na zaidi sana mitandaoni but when it comes to take ACTION wananywea kama mkate wa boflo kwenye kikombe cha chai. So si kama hawajui nini chakufanya bali they don't have guts na kwa hili wacha tusikie maendeleo makubwa kwa wenzetu hakuna namna.
Hata vikionekana havina uhusisiano na mafungu yanayokopwaHalafu kila siku mikopo ni ya kujenga madarasa na vituo vya afya... Ila haviinekani
Sent from my SO-01K using JamiiForums mobile app