February Makamba
JF-Expert Member
- Jan 31, 2020
- 2,204
- 3,060
Kwahyo in other words, Serikali ni genge la wahuni aka Cartelha ha ha haaaaa... Mkuu hata kama ni wewe, unaweza kukata tawi ulilokalia kweli?
Kwahyo in other words, Serikali ni genge la wahuni aka Cartelha ha ha haaaaa... Mkuu hata kama ni wewe, unaweza kukata tawi ulilokalia kweli?
Hapana!! Serikali ni watu na hao watu wametoka kwetu, kwahiyo serikali ni zao letu..Kwahyo in other words, Serikali ni genge la wahuni aka Cartel
Mtoa mada.. pole sana haya mambo yanakwaza sana.. ila suluhisho lipo kwenye DANIELI 2:44.. Kuwa na subira kidogo.Tunapoelekea ni kubaya sana naona madeni yanazidi kila kukicha, niliwaza tu ifikie hatua Serikali iwe private na sisi tuishi maisha yetu ,barabara zilizoko zinatosha shuleni za serikali igeuze ziwe private tutalipa ada kama kawaida. Masuala ya michango yafe maana shule private huwa hatukuwa tunapitishana harembee za michango
Sio mtu mmoja anakwapua milioni Hadi 40 kwa mwezi ikiwa Kuna mlipa Kodi hawezi tunza hata elf 5 kwa siku.
Me naona tuishie tu hapa Serikali waishi maisha yao tu
Watu wanaishi Kama wako peponi lc300 liko hapa hata halizimwi linadondosha tu maji kwa chini pale mbele halafu Bado wanakopa daaa
Tuwakodi wakenya,, au hata Hamza wanne tuUmejibu vizuri sana, ila nikwambie kitu mkuu? Watanzania wanalalamika sana mitaani, vijiweni, kwenye familia zao na zaidi sana mitandaoni but when it comes to take ACTION wananywea kama mkate wa boflo kwenye kikombe cha chai. So si kama hawajui nini chakufanya bali they don't have guts na kwa hili wacha tusikie maendeleo makubwa kwa wenzetu hakuna namna.
Hawatakuwa na wa kuwaonea na kuwabambikia kesi za uongo na kila rushwa.
Ukiibiwa au kudhulumiwa kitu unapambana mwenyewe sio hadi upate haki yako?Kuna nchi hizi mambo hakuna huwezi ona mtaani🤣
Duuuuuuh n noma sidhani kama naweza lipa hata wakisema wauze kila nlichonacho hawawez pata hyo pesa.Kulingana na takwimu za sensa kuhusu idadi ya watu na deni lililoko ..kila binadamu hapa bongo anadaiwa 1.47M
(1,473,896)
Hata tukilipa watakopa tena
Au tungefanya tukio la ajabu Sana Hadi wajishtukie ..hatupigi Kura Wala hatuongei na mtu ..unashangaa Kati ya wapiga Kura mil 26 waliopiga Ni laki 7 hao Ni chawa njaa Kali ..afu mtaani kila mtu anapasha pushapu nje kwake Yani wananchi wanapiga tiziNi kugoma tu....hatutaki kwenda kwenye mikutano yao, hatutaki kusikiliza uongo wao ,hakuna kulipa kodi kama ni mfanya biashara wakilazimisha bora kufunga kwenda kulima maporini...
Swali..
Je wtz wote wataweza?...waganga njaa chura wa kijani wataweza??
Kiongozi yeyote akikufuata kuomba kura unamtoa nduki na nyundo siasa iwe sumuAu tungefanya tukio la ajabu Sana Hadi wajishtukie ..hatupigi Kura Wala hatuongei na mtu ..unashangaa Kati ya wapiga Kura mil 26 waliopiga Ni laki 7 hao Ni chawa njaa Kali ..afu mtaani kila mtu anapasha pushapu nje kwake Yani wananchi wanapiga tizi
Nina watoto wawili wa mwaka..kwa hio nadaiwa 4.4m pamoja na hao Mana walihesabiwaDuuuuuuh n noma sidhani kama naweza lipa hata wakisema wauze kila nlichonacho hawawez pata hyo pesa.
Una mkaribisha unampa sumu kwenye msosiKiongozi yeyote akikufuata kuomba kura unamtoa nduki na nyundo siasa iwe sumu
Balaa me naishia pishana nayo tuHilo dude aisee.linafukia mashimo.tukiwah kubahatisha pale cbe usafir wa kudandia.saa 09 asubh saa 02 mchana dar hii hapa lc300 chuma ya mjapan
Mkuu ni noma sana!!Nina watoto wawili wa mwaka..kwa hio nadaiwa 4.4m pamoja na hao Mana walihesabiwa
Bidhaa hupangwa bei na sokoBadala washushe bei za bidhaa wananchi tule vizuri maradhi yasitupate wao bize kujenga hospital huku zikiwa hazina dawa wala madaktari
Chadema walituunganisha watanzania, lakini wananchi hatukuwasapoti kwa uoga wetu. Kaskazini chini ya Lema (Arusha) walisimamia na kuionesha nguvu ya mwananchi lakini hawakupata sapoti toka maeneo mengine. Wengi wanaelewa ila UOGA ndio umetawala mioyoni mwetuHawajawahi kuunganishwa kuwa kitu kimoja na kudhamiria ku take action, umoja ni nguvu sio wingi.
Chadema walituunganisha watanzania, lakini wananchi hatukuwasapoti kwa uoga wetu. Kaskazini chini ya Lema (Arusha) walisimamia na kuionesha nguvu ya mwananchi lakini hawakupata sapoti toka maeneo mengine. Wengi wanaelewa ila UOGA ndio umetawala mioyoni mwetu