Sambinyakwe kitololo
JF-Expert Member
- Nov 15, 2022
- 2,429
- 2,974
Maana sioni hizo pesa zinaenda wapi au mikoani kwenu Kuna yanayofanyika🤣🤣🤣
Ilo deni la matrilioni wafe nalo wenyewe.
🤣🤣🤣
Ndo hao tunatengana naoJeshi
Polisi
Haki(Mahakama)
Itakuwaje?
Badala washushe bei za bidhaa wananchi tule vizuri maradhi yasitupate wao bize kujenga hospital huku zikiwa hazina dawa wala madaktariHalafu kila siku mikopo ni ya kujenga madarasa na vituo vya afya... Ila haviinekani
Sent from my SO-01K using JamiiForums mobile app
Tunapoelekea Ni kubaya Sana naona madeni yanazidi kila kukicha, niliwaza tu ifikie hatua serikali iwe private na sisi tuishi maisha yetu ,barabara zilizoko zinatosha shuleni za serikali igeuze ziwe private tutalipa ada Kama kawaida maswala ya michango yafe maana shule private huwa hatukuwa tunapitishana harembee za michango ..sio mtu mmoja anakwapua milion Hadi 40 kwa mwezi ikiwa Kuna mlipa Kodi hawezi tunza hata elf 5 kwa siku ..
Me naona tuishie tu hapa serikali waishi maisha yao tu
Watu wanaishi Kama wako peponi lc300 liko hapa hata halizimwi linadondosha tu maji kwa chini pale mbele afu Bado wanakopa daaa
Nadhani wakati wa ujima watu waliishi kwa staili hii. Sina hakika zaidi lakini nadhani kilichokuja kuwabadilisha na kuamua kuunda Serilaki, ni ubabe wa baadhi ya watu kwenye jamii, kwamba mimi naweza kuja nyumbani kwako nikawakataza mji mzima kula mlo wa jioni na wakati wa kuondoka nikaondoka na mke wako vile vile. Sasa ili kupambana na halli kama hii, watu waliamua kuunda umoja ambao baadaye ulikuja kupekea kuwepo kwa SerikaliTunapoelekea Ni kubaya Sana naona madeni yanazidi kila kukicha, niliwaza tu ifikie hatua serikali iwe private na sisi tuishi maisha yetu ,barabara zilizoko zinatosha shuleni za serikali igeuze ziwe private tutalipa ada Kama kawaida maswala ya michango yafe maana shule private huwa hatukuwa tunapitishana harembee za michango ..sio mtu mmoja anakwapua milion Hadi 40 kwa mwezi ikiwa Kuna mlipa Kodi hawezi tunza hata elf 5 kwa siku ..
Me naona tuishie tu hapa serikali waishi maisha yao tu
Watu wanaishi Kama wako peponi lc300 liko hapa hata halizimwi linadondosha tu maji kwa chini pale mbele afu Bado wanakopa daaa
Ngoja bashiru ajeMama anaupiga mwingi hadi unamwagika na watu wanalamba asali.
Hawatakuwa na wa kuwaonea na kuwabambikia kesi za uongo na kila rushwa.Jeshi
Polisi
Haki(Mahakama)
Itakuwaje?
Unajua serikali inategemea wananchi kwa kila kitu. Kutengana nayo, ni kuiua, kwamba kusiwe na rais mpaka wa chini kabisa. Kwamba kama vile mkulima anavyoweza kujipatia kipato kwa kutoka jasho, na rais naye atafute shughuli ya kumuwezesha aendeshe maisha yake.Tunapoelekea Ni kubaya Sana naona madeni yanazidi kila kukicha, niliwaza tu ifikie hatua serikali iwe private na sisi tuishi maisha yetu ,barabara zilizoko zinatosha shuleni za serikali igeuze ziwe private tutalipa ada Kama kawaida maswala ya michango yafe maana shule private huwa hatukuwa tunapitishana harembee za michango ..sio mtu mmoja anakwapua milion Hadi 40 kwa mwezi ikiwa Kuna mlipa Kodi hawezi tunza hata elf 5 kwa siku ..
Me naona tuishie tu hapa serikali waishi maisha yao tu
Watu wanaishi Kama wako peponi lc300 liko hapa hata halizimwi linadondosha tu maji kwa chini pale mbele afu Bado wanakopa daaa
Ku take action tuSwali kwa mtoa mada sasa; Tufanye nini ili tujitenge na serikali huku ukijua kuwa bila sisi hakuna serikali?
NaongezeaTunapoelekea Ni kubaya Sana naona madeni yanazidi kila kukicha, niliwaza tu ifikie hatua serikali iwe private na sisi tuishi maisha yetu ,barabara zilizoko zinatosha shuleni za serikali igeuze ziwe private tutalipa ada Kama kawaida maswala ya michango yafe maana shule private huwa hatukuwa tunapitishana harembee za michango ..sio mtu mmoja anakwapua milion Hadi 40 kwa mwezi ikiwa Kuna mlipa Kodi hawezi tunza hata elf 5 kwa siku ..
Me naona tuishie tu hapa serikali waishi maisha yao tu
Watu wanaishi Kama wako peponi lc300 liko hapa hata halizimwi linadondosha tu maji kwa chini pale mbele afu Bado wanakopa daaa