Hivi haiwezekani dunia nzima tukaungana tukaivamia North Korea kupitia UN na kumtoa Kim Jong Un madarakani?

Nitakua upande wa Korea kaskazini kupambana na umoja wa Mataifa kandamizi Korea kaskazini ni taifa huru na halina shida na mtu.
 
Hawa uliowataja Mimi na wengine wengi tunawaona ni mashujaa
Yeah. Ni mashujaa katika ulimwengu wa leo ambao ni "Yule mwenye nguvu mpishe" ndo anayesema. Wewe nguru mbili huweizi kuthubutu hivyo; lakini hao "wamethubutu kusema" japokuwa likitokea la kutokea nao pia watakuwa ni nguru mbili kama wengine.
 
Kwa hizi akili za Kim Jong Un na namna ambavyo anahangaika kutafuta vita na the Western world ni dhahir kuwa nchi imemshinda na tusipokaa vizuri mjinga huyu atatupeleka kwenye WWIII

Kwanza Kim ndo anaongoza kwa kuwa na hostages wengi zaidi in the world kwani anaongoza watu Milioni 26 ambao hawana uhuru wa kufanya chochote.

Kim ni Psycho. Hivi kwanini UN Security Council isikae chini ikavote kumtoa huyu maniac madarakani?

Ikafanyika coup flani hivi ya kibabe ikiongozwa na Western countries ili North Korea iwe huru?

Au ipitishwe UN resolution tu kuamua kwamba dunia nzima tunaunda jeshi la kumtoa Kim madarakani?

Kama ni nyuklia hata US anazo. Nini kinasababisha tusiweze kumdhibiti huyu kiumbe?

Hizi ni baadhi ya headlines zinaoonesha jinsi Kim anavyotafuta vita ya tatu ya dunia kwa nguvu.

Kim piga hayo mavi baraka ya US 😝😝😝😝
 
  • Thanks
Reactions: UCD
Nitakua upande wa Korea kaskazini kupambana na umoja wa Mataifa kandamizi Korea kaskazini ni taifa huru na halina shida na mtu.
Yes Exactly. Ikitokea UN ikaamua kufanya ubabe wa kuivamia NK; ni sahihi kwetu sote sisi tusiopenda ukandamizaji au uonevu tujiweke upande wa yule anayeonewa.
 
Kuzaliwa North Korea ni aheri kuzaliwa ndani ya jela kwa nchi za Magharibi.

Wananchi wa North Korea wamezuiwa kusherehekea hata Christmas eti ni sherehe ya kimagharibu, badala yake wanatakiwa kusherehekea siku aliyozaliwa bibi yake Kim. Jong Un.

North Korea ukipatikana na biblia, au mkakusanyika kusali, adhabu ni jela miaka 15.

Kama umezaliwa Korea kaskazini ni marufuku kutoka nje ya nchi.

North Korea ukipatikana umevaa jeans au nguo yoyote inayotafsiriwa ni ya kimagharibi, adhabu ni jela.

Ukinunua TV lazima uipeleke polisi ikaandikishwe na ikawe tuned kwa station ya North Korea.

North Korea, hakuna anayeruhusiwakutumia internet.

Hayo ni machache, yanayoshangaza.
Kwa upande wa Wananchi na Jamii kwa ujumla wao wanaionaje hiyo hali? Hapa ss tumesoma jinsi ww unavyoiona hiyo hali. Hebu tuwasikilize na wahusika wenyewe kama wanaunga mkono maoni yako.
 
Hii Dunia imejaa wajinga wengi mno na wenye mawazo ya kitumwa.
Eti NOKO Inatafuta vita na western world,hivi kwanza wewe uko western world?
Hovyo kabisa wewe.
Haya hivi Niko imeivamia nchi hani hapa duniani ukilinganisha na USA.uk France na hata German?
Eti Kim jong Un Hana akili sawasawa,je ni nani anatoa vipomo vya akili za Viongozi wa Dunia?
Hao unaowaita wenye akili akina USA wameshaua watu wengi na kutumia mabomu ya nyukilia kuua binadamu wenzako,je Niko imeshatimia nyukilia zake kupiga nchi Gani?
Kwa Nini usilete hoja kwamba Dunia iungane ipige USA ambayo kwanza kabisa imeongoza kwa kuvamia nchi nyingi duniani kionevu na kuzitawala nchi nyingine kiuchumi na hata kiutamaduni.
Hivi wewe kiparumba unajua kua USA ikiweka Kambi ya jeshi nchini kwako maana yake wanakua juu ya Sheria zenu za nchi?
Yani hawakaguliwi wakiingia nchini kwetu kupitia airport au mipakani,hawashitakiwi kwa Sheria za nchi yenu hata wakifanya kosa kiasi Gani,ikiwa ni pamoja na kubaka,Kuiba na kuua?
Unayajua madhira wanayopata wananchi wa nchi zinazokaliwa na wamarekani na wafaransa?
Acha kabisa kumeza propaganda za west juu ya NOKO.
Ni west ndio wanaotaka vita na NOKO wala sio NOKO ndio inataka vita na west.
Muwe mnajieleimisha kidogo kabla ya kuangalia hizo sinema zatu za Hollywood.
Na mwisho kabisa ni kwamba NOKO haipigiki kwa sababu nyuma yeke IPO miamba Urusi,china,Iran,some Arab, African, far Eastern world and latin Americans.
Sio Kwa kua wewe mpenda mapenzi ya jinsia moja tunaichukia ukadhani wote wanachukia.
Niko IPO na itaendelea kuwepo.
Hali hii itaendelea kua hivyo hata mtakatifu wa vita Vladimir Vladimirovic Putin akiondoka wapo Russia wababe kumshinda yeye wataingia Hapo Moscow kumlinda Kim na NOKO yake.
 
Mkuu relax.

Mbona umepanic sana au wewe ni Kim Jong Un?

Rewrite tena ulichoandika alafu urudi tena hapa!
 
Kwa upande wa Wananchi na Jamii kwa ujumla wao wanaionaje hiyo hali? Hapa ss tumesoma jinsi ww unavyoiona hiyo hali. Hebu tuwasikilize na wahusika wenyewe kama wanaunga mkono maoni yako.

Mkuu kuna thousands of people ambao wanakufa kila mwaka wakijaribu kuondoka North Korea kwenda South.

Hata non western media zinaripoti hivyo.

Kuna tones of evidence kutoka kwa refugees wa North Korea wanasema kuwa hali ni mbaya.

Naomba ukatafute documntaries za Oh Chong Song pamoja na Yeonmi Park wakizungumzia jinsi walivyotoroka.
 
Nitakua upande wa Korea kaskazini kupambana na umoja wa Mataifa kandamizi Korea kaskazini ni taifa huru na halina shida na mtu.

I never said ni taifa lenye shida na mtu.

What i'm saying here is Kim Jong Un is holding 26 Million people hostage.

Kwanini international community isiingilie kati?
 
Kwa hizi akili za Kim Jong Un na namna ambavyo anahangaika kutafuta vita na the Western world ni dhahir kuwa nchi imemshinda na tusipokaa vizuri mjinga huyu atatupeleka kwenye WWIII

Kwanza Kim ndo anaongoza kwa kuwa na hostages wengi zaidi in the world kwani anaongoza watu Milioni 26 ambao hawana uhuru wa kufanya chochote.

Kim ni Psycho. Hivi kwanini UN Security Council isikae chini ikavote kumtoa huyu maniac madarakani?

Ikafanyika coup flani hivi ya kibabe ikiongozwa na Western countries ili North Korea iwe huru?

Au ipitishwe UN resolution tu kuamua kwamba dunia nzima tunaunda jeshi la kumtoa Kim madarakani?

Kama ni nyuklia hata US anazo. Nini kinasababisha tusiweze kumdhibiti huyu kiumbe?

Hizi ni baadhi ya headlines zinaoonesha jinsi Kim anavyotafuta vita ya tatu ya dunia kwa nguvu.

Naungana na wewe mkuu
Kuwakomboa watumwa NDANI ya nchi yao wenyewe Ila Kuna njia za kidlomasia za kuanza nazo
Kama vile kuwapa uhuru wa kumiliki silaha za nyuklia kwa masharti maalumu

Cha kwanza ni uhuru wa kuabudu
 
Back
Top Bottom