Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa uliowataja Mimi na wengine wengi tunawaona ni mashujaaHuyu na yule Khamenei wa Iran ni machizi na Putin,wangefaa kuwa eliminated by any means
Mkuu hizo ni ndoto tu! Kupigana na Korea KZ ni kutafuta kupigana na Russia,China na Iran Mataifa ambayo kwa sasa ni Nuclear Powers!
Yeah. Ni mashujaa katika ulimwengu wa leo ambao ni "Yule mwenye nguvu mpishe" ndo anayesema. Wewe nguru mbili huweizi kuthubutu hivyo; lakini hao "wamethubutu kusema" japokuwa likitokea la kutokea nao pia watakuwa ni nguru mbili kama wengine.Hawa uliowataja Mimi na wengine wengi tunawaona ni mashujaa
Nani wa kumfunga paka kengele ?The Axis Of Evil. Wote hao wanatakiwa wang'olewe!
Kim piga hayo mavi baraka ya US 😝😝😝😝Kwa hizi akili za Kim Jong Un na namna ambavyo anahangaika kutafuta vita na the Western world ni dhahir kuwa nchi imemshinda na tusipokaa vizuri mjinga huyu atatupeleka kwenye WWIII
Kwanza Kim ndo anaongoza kwa kuwa na hostages wengi zaidi in the world kwani anaongoza watu Milioni 26 ambao hawana uhuru wa kufanya chochote.
Kim ni Psycho. Hivi kwanini UN Security Council isikae chini ikavote kumtoa huyu maniac madarakani?
Ikafanyika coup flani hivi ya kibabe ikiongozwa na Western countries ili North Korea iwe huru?
Au ipitishwe UN resolution tu kuamua kwamba dunia nzima tunaunda jeshi la kumtoa Kim madarakani?
Kama ni nyuklia hata US anazo. Nini kinasababisha tusiweze kumdhibiti huyu kiumbe?
Hizi ni baadhi ya headlines zinaoonesha jinsi Kim anavyotafuta vita ya tatu ya dunia kwa nguvu.
Yes Exactly. Ikitokea UN ikaamua kufanya ubabe wa kuivamia NK; ni sahihi kwetu sote sisi tusiopenda ukandamizaji au uonevu tujiweke upande wa yule anayeonewa.Nitakua upande wa Korea kaskazini kupambana na umoja wa Mataifa kandamizi Korea kaskazini ni taifa huru na halina shida na mtu.
Taahira wewe! Tuanze kuwang'oa kwanza Wamarekani wanaoabudu ushoga!The Axis Of Evil. Wote hao wanatakiwa wang'olewe!
Vile hawashadidi ushoga??Huyu na yule Khamenei wa Iran ni machizi na Putin,wangefaa kuwa eliminated by any means
Kwa upande wa Wananchi na Jamii kwa ujumla wao wanaionaje hiyo hali? Hapa ss tumesoma jinsi ww unavyoiona hiyo hali. Hebu tuwasikilize na wahusika wenyewe kama wanaunga mkono maoni yako.Kuzaliwa North Korea ni aheri kuzaliwa ndani ya jela kwa nchi za Magharibi.
Wananchi wa North Korea wamezuiwa kusherehekea hata Christmas eti ni sherehe ya kimagharibu, badala yake wanatakiwa kusherehekea siku aliyozaliwa bibi yake Kim. Jong Un.
North Korea ukipatikana na biblia, au mkakusanyika kusali, adhabu ni jela miaka 15.
Kama umezaliwa Korea kaskazini ni marufuku kutoka nje ya nchi.
North Korea ukipatikana umevaa jeans au nguo yoyote inayotafsiriwa ni ya kimagharibi, adhabu ni jela.
Ukinunua TV lazima uipeleke polisi ikaandikishwe na ikawe tuned kwa station ya North Korea.
North Korea, hakuna anayeruhusiwakutumia internet.
Hayo ni machache, yanayoshangaza.
Hii Dunia imejaa wajinga wengi mno na wenye mawazo ya kitumwa.
Eti NOKO Inatafuta vita na western world,hivi kwanza wewe uko western world?
Hovyo kabisa wewe.
Haya hivi Niko imeivamia nchi hani hapa duniani ukilinganisha na USA.uk France na hata German?
Eti Kim jong Un Hana akili sawasawa,je ni nani anatoa vipomo vya akili za Viongozi wa Dunia?
Hao unaowaita wenye akili akina USA wameshaua watu wengi na kutumia mabomu ya nyukilia kuua binadamu wenzako,je Niko imeshatimia nyukilia zake kupiga nchi Gani?
Kwa Nini usilete hoja kwamba Dunia iungane ipige USA ambayo kwanza kabisa imeongoza kwa kuvamia nchi nyingi duniani kionevu na kuzitawala nchi nyingine kiuchumi na hata kiutamaduni.
Hivi wewe kiparumba unajua kua USA ikiweka Kambi ya jeshi nchini kwako maana yake wanakua juu ya Sheria zenu za nchi?
Yani hawakaguliwi wakiingia nchini kwetu kupitia airport au mipakani,hawashitakiwi kwa Sheria za nchi yenu hata wakifanya kosa kiasi Gani,ikiwa ni pamoja na kubaka,Kuiba na kuua?
Unayajua madhira wanayopata wananchi wa nchi zinazokaliwa na wamarekani na wafaransa?
Acha kabisa kumeza propaganda za west juu ya NOKO.
Ni west ndio wanaotaka vita na NOKO wala sio NOKO ndio inataka vita na west.
Muwe mnajieleimisha kidogo kabla ya kuangalia hizo sinema zatu za Hollywood.
Na mwisho kabisa ni kwamba NOKO haipigiki kwa sababu nyuma yeke IPO miamba Urusi,china,Iran,some Arab, African, far Eastern world and latin Americans.
Sio Kwa kua wewe mpenda mapenzi ya jinsia moja tunaichukia ukadhani wote wanachukia.
Niko IPO na itaendelea kuwepo.
Hali hii itaendelea kua hivyo hata mtakatifu wa vita Vladimir Vladimirovic Putin akiondoka wapo Russia wababe kumshinda yeye wataingia Hapo Moscow kumlinda Kim na NOKO yake.
Kwa upande wa Wananchi na Jamii kwa ujumla wao wanaionaje hiyo hali? Hapa ss tumesoma jinsi ww unavyoiona hiyo hali. Hebu tuwasikilize na wahusika wenyewe kama wanaunga mkono maoni yako.
Nitakua upande wa Korea kaskazini kupambana na umoja wa Mataifa kandamizi Korea kaskazini ni taifa huru na halina shida na mtu.
China haijawahi kimlinda MTUChina itailinda kwa gharama yoyote.
Naungana na wewe mkuuKwa hizi akili za Kim Jong Un na namna ambavyo anahangaika kutafuta vita na the Western world ni dhahir kuwa nchi imemshinda na tusipokaa vizuri mjinga huyu atatupeleka kwenye WWIII
Kwanza Kim ndo anaongoza kwa kuwa na hostages wengi zaidi in the world kwani anaongoza watu Milioni 26 ambao hawana uhuru wa kufanya chochote.
Kim ni Psycho. Hivi kwanini UN Security Council isikae chini ikavote kumtoa huyu maniac madarakani?
Ikafanyika coup flani hivi ya kibabe ikiongozwa na Western countries ili North Korea iwe huru?
Au ipitishwe UN resolution tu kuamua kwamba dunia nzima tunaunda jeshi la kumtoa Kim madarakani?
Kama ni nyuklia hata US anazo. Nini kinasababisha tusiweze kumdhibiti huyu kiumbe?
Hizi ni baadhi ya headlines zinaoonesha jinsi Kim anavyotafuta vita ya tatu ya dunia kwa nguvu.
Kabisa,inashangaza kuona watu wanaona matendo ya kim aliye mbali lakini hawaoni wizi wa kura,utejaji na kunajisi uchaguzi kunakofabywa na CCM na serikali yake.Ni unafiki wa hali ya juu mnoUzi wa kijinga sana huu.