the say
JF-Expert Member
- Oct 25, 2014
- 2,772
- 3,360
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mshafungwa full stop..mngefunga goal 2 zaidi mngeshindwa wapi?Yaani ni jambo la ajabu sana kukataaa goal la wazi km hili how yaani var ikatae hii ni aibu sana kwa rais wa caf matsope sijui na team yake ya mamelod yaani ni aibu kwenye mpira wa africa kabisa.
Mimi nataka kujua haiwezekani kukata rufaa kama umedhulumiemwa kwenye hatua hizi za robo fainali champions caf?
View attachment 2955100
Upo sahihi [emoji817]%Kama ulikuwa hujui CAF ni taasisi yenye idara nyingi ndani yake
Moja kati ya hizo idara imetengwa kwa ajili ya kushughulikia kesi za wanachama wake.
CAF hawachunguzi madai, CAF wanachunguza ushahidi ulioletwa na mleta madai.
Ngoja nikueleweshe.
Kwenye scenario ya jana na ile controversial ya goli la Azizi Ki, mkasema mpeleke madai CAF kuwa mmedhulumiwa maana yake ushahidi ambao mtaambatana nao ni ile clip ya kuonesha mpira ulivyovuka goal line.
Kwa maana hiyo CAF wao watajizatiti katika ushahidi wenu kuangalia ni kweli ule mpira ulivuka au haukuvuka.
Ikithibitika kuwa mpira ulivuka basi adhabu itatolewa kwa refa bila kuathiri matokeo aliyoyaamua.
Kwa maana hiyo ni kuwa mtakuwa mmefanya tu kulipiza kisasi kwa refa ili aadhibiwe lakini haiwezi kubadilisha maamuzi yake aliyoyafanya kwa kukataa goli.
Lakini ukasema utumie clip hiyo kama madai ya kusema ni match fixed, basi safari hii, clip peke yake haitatosha kuwa ushahidi, utaombwa ushahidi mwingine kusapoti hoja yako.
Kwasababu mpaka hapo ushahidi wako wa mwanzo hauoneshi match fixed bali unaonesha uzembe wa refa. Kwa hiyo uzembe wa refa unathibitishaje moja kwa moja kuwa ni conspiracy ya kupanga matokeo?
Ukiombwa uthibitisho utaweza kuutoa?
Match fixed huwa zinafanywa kwa protocol kali na za kisiri watu wanafiriki hafi kutumia dark web wasionekane na ndio maana maamuzi ya kuamua kuwa hii ni match fixed hayatolewi kwa kuangalia matukio yaliyotokea uwanjani.
Sasa dogo, utachunguza incident bila kuchunguza kilichosababisha incident? Kwani watakapoita marefa wajitetee si wataulizwa nini kilisababisha wakaona tofauti na kilichopo kwenye video? Refa mkuu nae si ataulizwa nini kilipelekea akaangalia VAR kwenye scenario ya Lomalisa ila akagoma kuangalia kwenye scenario ya goli la Aziz Ki? Sasa kitendo tu cha kuhojiwa hayo maswali si uchumguzi huo tayari? Maana mmoja kwenye kuijibu anaweza kujikanyaga na kumtaja Motsepe.., au unadhani uchunguzi ni hadi waitwe CIA? Kwenye kanuni zao wameweka wazi kabisa kwamba shutuma zikiletwa watafanya uchunguzi!Kama ulikuwa hujui CAF ni taasisi yenye idara nyingi ndani yake
Moja kati ya hizo idara imetengwa kwa ajili ya kushughulikia kesi za wanachama wake.
CAF hawachunguzi madai, CAF wanachunguza ushahidi ulioletwa na mleta madai.
Ngoja nikueleweshe.
Kwenye scenario ya jana na ile controversial ya goli la Azizi Ki, mkasema mpeleke madai CAF kuwa mmedhulumiwa maana yake ushahidi ambao mtaambatana nao ni ile clip ya kuonesha mpira ulivyovuka goal line.
Kwa maana hiyo CAF wao watajizatiti katika ushahidi wenu kuangalia ni kweli ule mpira ulivuka au haukuvuka.
Ikithibitika kuwa mpira ulivuka basi adhabu itatolewa kwa refa bila kuathiri matokeo aliyoyaamua.
Kwa maana hiyo ni kuwa mtakuwa mmefanya tu kulipiza kisasi kwa refa ili aadhibiwe lakini haiwezi kubadilisha maamuzi yake aliyoyafanya kwa kukataa goli.
Lakini ukasema utumie clip hiyo kama madai ya kusema ni match fixed, basi safari hii, clip peke yake haitatosha kuwa ushahidi, utaombwa ushahidi mwingine kusapoti hoja yako.
Kwasababu mpaka hapo ushahidi wako wa mwanzo hauoneshi match fixed bali unaonesha uzembe wa refa. Kwa hiyo uzembe wa refa unathibitishaje moja kwa moja kuwa ni conspiracy ya kupanga matokeo?
Ukiombwa uthibitisho utaweza kuutoa?
Match fixed huwa zinafanywa kwa protocol kali na za kisiri watu wanafiriki hafi kutumia dark web wasionekane na ndio maana maamuzi ya kuamua kuwa hii ni match fixed hayatolewi kwa kuangalia matukio yaliyotokea uwanjani.
Kama yanga italalamika kuhusu kunyimwa goli,hayo unayosema ndio yatakuwa maamuzi ya caf au fifa.lkn kama yanga italalamika kuhusu kupanga matokeo,maamuzi yataikumba mamelodi mojamoja kwa moja pamoja na motsepe.Maamuzi yakitolewa na refa hata kama ya kuonewa huwezi kuyabadilisha kukupa faida ile ambayo ungeweza kuipata endapo refa angefanya fair.
Maana yake ni kwamba there's no way Mamelodi wanaweza kuwa watuhumiwa kwenye hili tukio na kwa maana hiyo hakuna maamuzi ambayo yatailenga Mamelodi hata kama kesi ikionesha kweli Yanga imedhulumiwa.
Hapo mhanga ni refa na timu yake ya VAR kule control room ambao hao hawana impact kihivyo tofauti na timu
Kwenye adhabu za FIFA hata wakimfungia refa bado hawawezi kubatilisha matokeo kuipa advantage Yanga.
Kwasababu Mamelodi watajitetea kuwa ni makosa ya refa sio wao hivyo hakuna sababu yoyote ya wao kuhusishwa kwenye adhabu ambayo imetolewa kutokana na makosa ya refa.
upo sawaKama yanga italalamika kuhusu kunyimwa goli,hayo unayosema ndio yatakuwa maamuzi ya caf au fifa.lkn kama yanga italalamika kuhusu kupanga matokeo,maamuzi yataikumba mamelodi mojamoja kwa moja pamoja na motsepe.
Hawatalalamikiwa mamelodi,italalamikiwa caf,ila mchezo wa yanga na mamelodi utatumika kama ushahidi,na mnufaika ni mamelodi pamoja na uongozi wake.upo sawa
shida iliyopo hakuna ushaidi wa kuwaunganisha hao mamelodi
Kwanza mi sio dogo naweza nikawa baba yako mkubwa kwa hiyo jifunze kuwa na matumizi sahihi ya mdomo au keyboard.Sasa dogo, utachunguza incident bila kuchunguza kilichosababisha incident? Kwani watakapoita marefa wajitetee si wataulizwa nini kilisababisha wakaona tofauti na kilichopo kwenye video? Refa mkuu nae si ataulizwa nini kilipelekea akaangalia VAR kwenye scenario ya Lomalisa ila akagoma kuangalia kwenye scenario ya goli la Aziz Ki? Sasa kitendo tu cha kuhojiwa hayo maswali si uchumguzi huo tayari? Maana mmoja kwenye kuijibu anaweza kujikanyaga na kumtaja Motsepe.., au unadhani uchunguzi ni hadi waitwe CIA? Kwenye kanuni zao wameweka wazi kabisa kwamba shutuma zikiletwa watafanya uchunguzi!
Malalamiko yanapaswa kuambatana na ushahidi.Kama yanga italalamika kuhusu kunyimwa goli,hayo unayosema ndio yatakuwa maamuzi ya caf au fifa.lkn kama yanga italalamika kuhusu kupanga matokeo,maamuzi yataikumba mamelodi mojamoja kwa moja pamoja na motsepe.
duhHawatalalamikiwa mamelodi,italalamikiwa caf,ila mchezo wa yanga na mamelodi utatumika kama ushahidi,na mnufaika ni mamelodi pamoja na uongozi wake.
Wapambane tu na maisha mengineImeisha hiyoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Km mimi apa yaani moyo bardiiiiiiiiiYaani nasikia raha wanavoumia yaani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hakuna cha kuonewa,Malengo yao yalikua ni makundi kwisha,CAF wanaangalia na malengo yako.
Sawa, ila watahojiwa, na kitendo cha kuhojiwa ni uchunguzi huo. Tusubiri matokeo ya uchunguzi wa hii alleged ‘match fixing’.Kwanza mi sio dogo naweza nikawa baba yako mkubwa kwa hiyo jifunze kuwa na matumizi sahihi ya mdomo au keyboard.
Pili unaonekana kwenye mpira ni mambo mengi huyajui.
Sheria za mpira zinatambua makosa ya kibinadamu. Kosa moja la kufanya maamuzi mabaya halifanyi awe refa mbaya.
Hao CAF waliompa hiyo mechi achezeshe waliangalia background yake na kujiridhisha kuwa anamudu kuchezesha hiyo mechi.
Kuhusu VAR kwanza unapaswa ujue role ya VAR
Refa alifanya maamuzi kupitia VAR. Alifanyaje?
Kwenye VAR kuna vitu viwili. Kuna review na check.
VAR Review inafanyika control room na marefa wasiopungua watatu ambao wanakuwa wanachunguza hilo tukio kwa umakini.
Kisha wanawasiliana na refa ambaye yupo kwenye field wakimpa maelekezo ya tukio lilivyokuwa, kisha yeye anakuja kufanya maamuzi.
Hiyo pia ni VAR decision.
Lakini pia kuna VAR review ambayo hii ndio inamuhitaji refa atike uwanjani akaangalie kwenye screen replay ya tukio.
Hivyo vyote vikifanyika vinahesabika ni maamuzi ya VAR.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama mm tu [emoji16] nafurahi sana [emoji28]
Mwenzio ameenda semi final tayariii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yanga hakuwa na 3 keys/potential players ulitaka ajuaje ubora wa kipa wa Mamelody Sundowns?
*Hujui Pacome anavyopasuaga ngome yoyote ya mpinzani?
*Huonagi Aucho anavyokamataga dimba kuzuia pass penetration zozote?
*Yaoyao je kupandisha timu kimashambulizi na kuwahi kurudi nyuma kukaba?
*Man City hutafuta ushindi kwa tochi akikosekana De Bruine tu, kwani haina kikosi kipana?
*Masambwanda SC ni wepesi sana Yanga kafichua udhaifu wao.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kabla hayajafika kwangu, yatakua yamesharudi kwao wenyewe.Naona umeamua kuwakalia kooni, angalia wasije kukutumia Majini. Kila wakifurukuta unao.
Yaan nna furahaa mno, mkiwa mnaumiaaa.Yote kwa yote matokeo hayato badilika tuendelee kuugulia maumivu yetu.
Haswaaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wapambane tu na maisha mengine
Mungu kawalipa lipuli
Kwa hiyo kwenu mwenye akili mmetuzidi mmoja eeh. Nasubiri nione mkivushwa kwenda nusu fainali.Kolo tulia hii kesi kubwa, kosa sio la refa Pekee kwa kutoangalia VAR ewe mbumbumbu, ni kosa pia la VAR room crew, kwa kutoonesha tukio kwa camera za angles zote na kumwambia refa uongo kuwa sio goli wakati video inaonesha Mpira ulimpita kipa aliekuwa kwenye mstari wa goli na ukadundia ndani wote,
Ndo maana huko kolokoloni mwenye akili mmoja tu Rage bora sisi uto wako wawili Sunday Manara na Mh Kikwete